Wew nae funguka akili,
Jiulize ni vigezo gani vimechukuliwa hadi mtu fulani kapewa nafasi fulani ya uongozi.
Kama ni kumsifu mzee wa kupenda sifa ndio kigezo pekee, basi jua mzee wa kupenda sifa na aliyemsifia wote wapumbavu
Nafasi za uteuzi ni chache, unasifu then unateuliwa kulingana na upo sehemu gani. Mwiguli kateuliwa sababu alipo anakidhi kuwa waziri.Sikubaliani na mawazo yako mkuu, kwamba sifa inamfanya mtu kupewa nafasi, ni wangapi wamesifu na hawakupewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangapi kina nani?Sikubaliani na mawazo yako mkuu, kwamba sifa inamfanya mtu kupewa nafasi, ni wangapi wamesifu na hawakupewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa msukule ni kuipinga serikaliMtu akipongeza kazi zinazofanywa na serikali, anaitwa praise team au kwa lugha yetu pendwa, timu ya kusifu.
Kama sivyo, anapewa jina la mtafuta uteuzi!
Kuna ubaya gani kuyasema mazuri yanayotekelezwa?
Maana mtu akikosoa anaokana mwerevu hapewi jina baya, hasa humu jukwaani.
Penye mazuri yasemwe kwa haki, penye kukosoa pakosolewe kwa staha!
Tuchukue tahadhali dhidi ya covid19.
Stay safe, Mungu ibariki Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujawahi kuona mtu anavuliwa wadhifa huu then baadaye anapewa mwingine?Wangapi kina nani?
Sitakuuliza uzuri wa kiongozi aliyechaguliwa.
Ila jiulize swali, unamtumbua mtu kwenye sekta fulani kisha huyo huyo badae unampa tena sekta fulani..!! Akili hiyo au matope?
Wanaopambana kufanya kazi za kisiasa ndio wanajua maumivu ya jambo hilo wew huwezi kujua.
Najione kwenye chama cha majambazi (ccm)Wewe hujawahi kuona mtu anavuliwa wadhifa huu then baadaye anapewa mwingine?
Then you lack exposure... Jaribu kufuatilia habari za dunia usikalie siasa za Tz tu.Naona ccm
Mtanzania ni sawa na mspanish???Then you lack exposure... Jaribu kufuatilia habari za dunia usikalie siasa za Tz tu.
Wangapi kina nani?
Sitakuuliza uzuri wa kiongozi aliyechaguliwa.
Ila jiulize swali, unamtumbua mtu kwenye sekta fulani kisha huyo huyo badae unampa tena sekta fulani..!! Akili hiyo au matope?
Wanaotamani kufanya kazi za kisiasa ndio wanajua maumivu ya jambo hilo wew huwezi kujua.
Maajabu ya kunywa matapishi yake hayajaanzia hapa kwa MWIGULU nadhani alianzia kunywa matapishi kwa KICHERE huyu JIWE
WATANZANIA WENGI WANA MATUMIZI MACHACHE YA AKILI NA WALIO WENGI WANAENDESHWA NA MIHEMKO NA HISIA KALI HALI INAYOPELEKEA KUJAA KWA LUGHA CHAFU NA KEBEHI KWA WANAOTOA HOJA KINZANI!
NI MIJADALA MICHACHE INAYOENDESHA KWA MISINGI YA HOJA JENZI NA ELIMISHI!
Kumbe ukipewa challenge akili ndo zinakukaa vema.Mtanzania ni sawa na mspanish???
Mim sio mwanasiasa, ila nadhani ukitaka kuona viongozi wazuri kwenye siasa ni muhimu kuwa mfano nikawe mwanasiasa.
So, tufanye kazi kila mtu atafute maendeleo yake binafsi.
fikra za weng wetu ndio maendeleo ya nchi yetu, kama nchi iko pazuri basi fikra za wengi ni nzuri, kama tupo pabaya basi fikra za wengi haziko sawa.