mtingi1
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 945
- 923
Mtu akipongeza kazi zinazofanywa na serikali, anaitwa praise team au kwa lugha yetu pendwa, timu ya kusifu.
Kama sivyo, anapewa jina la mtafuta uteuzi!
Kuna ubaya gani kuyasema mazuri yanayotekelezwa?
Maana mtu akikosoa anaokana mwerevu hapewi jina baya, hasa humu jukwaani.
Penye mazuri yasemwe kwa haki, penye kukosoa pakosolewe kwa staha!
Tuchukue tahadhali dhidi ya Covid19.
Stay safe, Mungu ibariki Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app