Afadhali wewe umeliona hilo Mkuu,wabongo hasa hao Wasanii wa Bongo Movie na flavour wanapenda sifa na kuuza sura kwenye misiba. Sasa hivi hautawasikia wakiunda hata kikamati cha kuratibu matibabu yake lakini baadae likitokea la kutokea utasikia fasta kamati ya mazishi ishaundwa tayari. Na pengine Mkuu tungependa kufahamu Mr Nice anasumbuliwa au kuugua nini hasa?
Ni ccm au UKAWA?, pole zakeWatanzania tunakuwaje lakini?
Leo hii Mr Nice ni mgonjwa sisikii watanzania hasa vyombo vya habari pamoja na wasanii wakimfatilia kumjulia hali hata kujua anaendeleaje au hata yamkini kujua mahitaji ya ugonjwa wake angalau kusaidia kimnya.
Wanasubilia yakitokea ya kutokea utasikia redio station zote wanapiga nyimbo zake huku wakimwaga sifa kedekede kwake na maneno tuliyazoea ati pengo lake halitozibikaa Mara ohoo alikuwa mtu wa watu nk.
Magazeti nayo page zote za mbele zitapambwa na habari zake. Nasema kama mmekaa kimnya kipindi hiki mkae kimnya milele nisisikie. Mtauliza Mimi ni nani hill haliwahusu. Ila sio vema kuendelea na huu unafiki kwa mtualiyetoa vibao mmurua kama kuku kapanda baiskel bata kavaaa laizoni.
Nasema nanyi pia mliomtumia kipindi cha campaign 2005 Leo hii mmetupa hamna habari naye kabisaa. Wengine ni wasanii mko kimnya nasikia na nimeota wengine mmepewa mlungura wa million 50 hata kutoa kidogo kwa mwenzenu mko kimnyaa kabisaa.
Nimeona picha yake akiwa hospital hali yake si nzuri kwa maadili siwezi weka hapa ila anahitaji maombi yetu na kujitoa kwetu kusaidia sio yatokee ya kutoakea ndio tuanze unafiki Mara Ohoo alikuwa rafiki yangu pengo lake halitozibika, halitozibika bibi yako?
Shenzy
Watanzania tunakuwaje lakini?

nimeona jose chameleon ndio anahamasisha watu wachange kwenye page yake ya instagram can u imagine wasanii wenzake wa bongo wako busy na hela za magamb aView attachment 287472
life is a lot like toilet paper. You're either on a roll.. Or you're taking shit from some asshole.
Kama alitumika kwenye kampeni za CCM 2015, asubiri kinana na nape wakamtembelee.
Augue salama.
Na 2005 CCM walimtumia sana kwenye kampeni zake.... Leo hii kimya hata msaada hawampi
nimekunukuu