Watanzania ni wanafiki tusiojitambua

tufanyeje sasa tuache huo unafiki endapo na ww upo kwenye huo unafiki maana umeandika "watanzania ni wanafiki tusiojitambua"
 
Ok, hakika tuache unafiki, kiongozi tunae kwa sasa. Nimekusoma mkuu
 
Kweli watanzania wanafki, wakiongozwa na wabunge wa Ccm.
 
Yaani umefafanua vizuri saana.! Sasa nimejiamnisha asilimia 100. CHADEMA hawana lengo la kumkomboa mwananch bali ni
 

Hao wenye akili wa CCM mbona sioni wakimtunishia msuli Nyoka mwenye Makengeza!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…