Hongera Rais jakaya kikwete kwa kukubali ndani ya CCM kuna Mafisadi
!!!
Hatimaye umetoa siku tisini watuumiwa wote watoke ndani ya CCM
Japo imekichukuamuda mrefu chama cha mapinduzi kufikia hatua na kutoa maamuzi kama hayo
Kwa kifupi msimamo wa chama zidi ya mafisadi haujaeleweka!! Inawezekana siku tisini zilizo to lewa kwa watuhumiwa kujivua hazitakua na effect yeyote!!.je wakikaa kimya?
Hapo ndipo chama kitachukua hatua ya kuwa fukuza rasmi?..
Na hapo ndipo siri za wizi zitakapo vuja rasmi
ni hatua nzuri
Lakini matokeo ya kusambaratika kwaCCM isije ikawa ndio kusambaratika kwa TAIFA
Mmamuzi ya kesi za ufisadi ni kama serikari ina chukulia mzaha!! Sheria zipo za makosa ya wizi..lakini zinaonekana ziliandaliwa kwa watu masikini
Watanzania ndiowalio kivuruga chama cha mapinduzi
Watanzania kuweni makini na matokeo ya kuanguka kwa CCM