Watanzania nani katuroga?

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,658
Reaction score
9,574
mara kadhaa nimemsikia rais wetu JPM akionyesha masikitiko makubwa na machungu ya moyoni akionyesha wazi wazi kuwa kuna mambo mengi ya ovyo ya ubadhirifu na hujuma ya mali za taifa letu bila hata chembe ya huruma!!
kibaya zaidi mambo hayo ya ovyo yalifanywa na baadhi ya watanzania wenzetu wazawa wenye elimu bora lkn walio kosa maadili na uzalendo kwa taifa lao!!

nani katuroga?

1. Mfumo wa kidhalimu ulio jengwa na kukita mizizi kwa miongo mingi!
baadhi ya watendaji wengi walipata vyeo kwa njia zisizo halali mfano: Rushwa, fadhila, "mtoto wa mkubw" n.k jambo hili lili pelekea kushindwa kuwa kemea au hata kuwachukulia hatua hivyo kuendeleza maovu yao.

Ili tufanikiwe kama taifa, Rais wetu hana budi kuufumua mfumo huv wa kidhalimu bila kutazama sura ya mtu, bila hivyo watamkwaza sana rais ktk utendaji wake.

mfumo huu 'ovu' upo ktk kila idara,lazima usambaratiswe ili watanzania wote tunufaike.
Mungu mzidishie Ujasiri Rais wetu.
 

Mavi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kuna mfumo wa Phds na bado jaujazaa matunda
 
viongozi wenye harufu ya ufisadi, rushwa, ubinafsi na uchu wa kujilimbikilizia mali, kupeana vyeo kwa upendeleo n.k ndio kumetufikisha hapa tulipo leo hii, hakuna jinsi zaidi ya kufumua uozo huo.
 
Hata yeye ana hako ka element ka upendeleo nasikia sehemu nyeti wapo ndg zake.
 
Kwa hyo na yy ajifumue tuu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…