wewe una mawazo madogo sana naona
mtu kumuibua mtu haimaanishi kuwa anakubaliana na yeye kila kitu
mbona nyerere ndie aliemsaidia mkapa kuwa rais. na bado nyerere anaonekana malaika????????
huyajui ya mwinyi mazuri?we ulizaliwa mwaka gani?
unajua nani alieondoa shida ya foleni za sukari na sigara hapa tz?
nani aliondoa kero ya vibali vya biashara?
nani aliruhusu makampuni ya simu na makampuni mengine makubwa kama tbl yaje tz?
nani aliruhusu watanzania waanzishe benki zao wenyewe kama crdb na acb????
yapo mengi uliza uambiwe
Swala sio kufungulia makumpuni kuingia Tanzania au kuruhusu bidhaa nchini, Mwinyi anaonekana wazi alifanya hivyo kwa wao mafisadi kuweza kuiibia Taifa. Huwezi ukaruhusu yote haya kuingia Tanzania wakati huna institutions za kukabiliana na wizi utao kuja na haya yote.
Kwanini Mwinyi haku fight kuunda sheria za kulinda makampuni kama ya Kitanzania yafanikiwe? Mfano, Kiongozi gani wa nchi au Mchumi gania ataruhusu kuingiza sukari au sigara kwenye Taifa lake akijua wazi warehouses huko Kilombero, Mtibwa, Kagera, Moshi na Dar zimejaa magunia ya sukari wanashindwa kuuza na wewe kama Kiongozi unaruhusu sukari iingizwe bila kuprotect interest za Watanzania. Hasara na Maafa ya Mwinyi is in terms of generation na billions of shillings to Tanzania kuhesabu. Wananchi wengi walikuwa wanafanya kazi kwenye local companies za Tanzania hata wakulima wa mchele na mahindi wote wameharibiwa maisha yao kwa sababu ya mtu mmoja, Mwinyi. Hawa wananchi hawawezi kushindana na bidhaa za kutoka nje na kubwa zaidi, why in hell "mfanya biashara anaingiza bidhaa na halipi kodi, huyu ni mfanya biashara au mzalendo? Hawa so call wafanya biashara wanaingiza bidhaa bure na kupanga bei za chini na mfanya biashara wa kawaida mikoani atashinda nae vipi? Kwanini Mwinyi hakupigania kujenga sheria na njia za kuzuia rushwa kabla ya
"ruksa" Hawa so called Matajiri Tanzania ndipo walipo fumuka na kuanza Kuwaibia Watanzania including Mama Siti" Kitu kingine Mwinyi angekifanya ni kuhimarisha hawa wananchi kielimu, kibiashara na technologia endapo Tanzania itaelekea kufungua mipaka kwa watu nje, hiki ndicho kinaendelea na Jk East African Community - wanafungua milango kwa nchi zilizo mbali kiuchumi bila kuangalia wanachi wao wata compete vipi na kufanikiwa. Same all game, stand for mafisadi...
Hakuna Economic Theory ya "Ruksa Bila Safe Guard ya Taifa" Tanzania Tunahitaji Uimarishaji wa Sheria - Katiba na Viongozi wa Ukweli Sio Poor and Short Sited People