Watanzania Most Corrupt Ever: Lowasa, Rostam, Kikwete, Mr and Mrs Mkapa, Pinda...

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
images

images

images

images

car_anna_mkapa.jpg

images

Pinda Sasa Tunamwingiza kwa kukumbatia Dowans

No Questions Taifa la Tanzania lina angamizwa na hawa mubarak wetu hapo juu. Juhudi kubwa wanazo zifanya kulindana kuliharibu Taifa la Tanzania na kuhakikisha "Watanzania Wanawaogopa" Taarifa tunataka wanaccm muwafikishie ni hivi

Watanzania Tupo Hatua kumi Kufikia Tahrir Square na Tukifika Haturudi Nyuma
 
Kuna wengi "walinda Corruption Tanzania" kuhakikisha Wizi kama wa Dowans unaendelea.

images

images
 
Umemsahau mzee Ali Hassani Mwinyi, huyu mzee ana hela ya kutisha, ndio alimuibua Mkwele wakati he was just CCM district secretary kule kusini mwa Tanzania kwa kuumpa ubunge na unaibu waziri enzi zake. Na ndio nguzo kubwa ya Mkwere katika utawala wake. Huwezi kusikia hata siku moja mzee huyu akikemea Ufisadi na kwa Hierarchy alipaswa ndio awe tegemeo la Watanzania baada ya kuondoka Mwalimu (R.I.P). Inasemekana anahisa za kutosha Sea Cliff Hotel na mke wake alifanya ufisadi kama alivyotufanyia mke wa Mkapa.
 
how do you confirm ur president is corrupt?
Maybe he is just incompetent...

Nadhani unakumbuka ile list ya mafisadi iliyotolewa na CHADEMA pale Mwembechai. Nadhani imo humu, hebu itafute uone majina yaliyokuwemo.

how do you confirm ur president is corrupt?
Maybe he is just incompetent...

The questions is, lets request all documents ofisi ya raisi. Nchi kama hii ya Tanzania yenye institutions chache na kuongozwa na watu wachache na chama kimoja kwanini kusiwe na public documents ofisi ya raisi? Ukweli ni kwamba Tanzania hakuna lolote linafanyika bila idhini ya Kikwete. Tusi danganyane kwamba Dowans Kikwete hakujua wala scandal ya EPA. Leo hii mikataba yote na policies zote za nchi zinafanyika ofisi ya raisi. Ukisoma katiba ya ccm utaona jinsi gani raisi wao walivyompa madaraka ya kila aina na sasa anatakiwa kuwakilisha muswada bungeni kurekebisha katiba. Only rais ndie anaruhusiwa kuleta hoja ya katiba bungeni. Hii mifano na siri nyingi za serikali, hatuwezi kukwepa swala la Kikwete kuhusika na kila jambo Tanzania. Nyerere tulimpa sifa ya kila kitu Tanzania ingawa zingene hazikuwa sifa kwanini Kikwete, Mkapa, na Mwinyi wasipewe sifa zao mbaya? "Let them prove us wrong by releasing all government documents public" Tuanze na leseni za makampuni Tanzania na mikataba yote Tanzania nani anahusika? Uchaguzi JK alipataje kura za kumpa uraisi? Tufanye research kuangalia kitu gani kinafanya Taifa kama US na UK yanafanikiwa, hizi nchi hata mwaliko wa mtu yeyote na hata malobbies wanatakiwa kuonyeshwa public, article hii might help everyone
White House Voluntary Disclosure Policy Visitor Access Records | The White House
Ethics Pledge Waivers Released by the White House | The White House
BBC News - Cameron hails 'revolutionary' Whitehall data website
TREASURY BOARD OF CANADA SECRETARIAT | Government of Canada to increase Parliament's transparency

My Take is This, If We Fail to Ask These Questions, Who Would? How Are We Going to Fix Corruptions? How are We Going Eliminate One Party Democracy in Multi-party Democracy? Lets Stop the Fear Among Ourselves. "Today Egyptians Won, It Took Them 18 Days"
 
Mwinyi amefanya mengi mema

hayo mengine majungu tu

Mengi mema yapi unless unageneralize kiongozi!!!. Iko wapi role yake kwa Taifa kwa ufisadi wa sasa. Unakubali kuwa ndio nguzo ya mkwere ndani ya wazee wa ccm?. Unakubali kuwa yeye ndio alimuibua mkwere kutoka Nachingwea?. What we reap from Jah- Kaaya now!!!
 
wewe una mawazo madogo sana naona

mtu kumuibua mtu haimaanishi kuwa anakubaliana na yeye kila kitu

mbona nyerere ndie aliemsaidia mkapa kuwa rais. na bado nyerere anaonekana malaika????????

huyajui ya mwinyi mazuri?we ulizaliwa mwaka gani?

unajua nani alieondoa shida ya foleni za sukari na sigara hapa tz?
nani aliondoa kero ya vibali vya biashara?

nani aliruhusu makampuni ya simu na makampuni mengine makubwa kama tbl yaje tz?

nani aliruhusu watanzania waanzishe benki zao wenyewe kama crdb na acb????

yapo mengi uliza uambiwe
 
CRDB haikuanzishwa enzi za Mwinyi. Fanya tena utafiti wako.
 
wewe una mawazo madogo sana naona

mtu kumuibua mtu haimaanishi kuwa anakubaliana na yeye kila kitu

mbona nyerere ndie aliemsaidia mkapa kuwa rais. na bado nyerere anaonekana malaika????????

huyajui ya mwinyi mazuri?we ulizaliwa mwaka gani?

unajua nani alieondoa shida ya foleni za sukari na sigara hapa tz?
nani aliondoa kero ya vibali vya biashara?

nani aliruhusu makampuni ya simu na makampuni mengine makubwa kama tbl yaje tz?

nani aliruhusu watanzania waanzishe benki zao wenyewe kama crdb na acb????

yapo mengi uliza uambiwe

Swala sio kufungulia makumpuni kuingia Tanzania au kuruhusu bidhaa nchini, Mwinyi anaonekana wazi alifanya hivyo kwa wao mafisadi kuweza kuiibia Taifa. Huwezi ukaruhusu yote haya kuingia Tanzania wakati huna institutions za kukabiliana na wizi utao kuja na haya yote. Kwanini Mwinyi haku fight kuunda sheria za kulinda makampuni kama ya Kitanzania yafanikiwe? Mfano, Kiongozi gani wa nchi au Mchumi gania ataruhusu kuingiza sukari au sigara kwenye Taifa lake akijua wazi warehouses huko Kilombero, Mtibwa, Kagera, Moshi na Dar zimejaa magunia ya sukari wanashindwa kuuza na wewe kama Kiongozi unaruhusu sukari iingizwe bila kuprotect interest za Watanzania. Hasara na Maafa ya Mwinyi is in terms of generation na billions of shillings to Tanzania kuhesabu. Wananchi wengi walikuwa wanafanya kazi kwenye local companies za Tanzania hata wakulima wa mchele na mahindi wote wameharibiwa maisha yao kwa sababu ya mtu mmoja, Mwinyi. Hawa wananchi hawawezi kushindana na bidhaa za kutoka nje na kubwa zaidi, why in hell "mfanya biashara anaingiza bidhaa na halipi kodi, huyu ni mfanya biashara au mzalendo? Hawa so call wafanya biashara wanaingiza bidhaa bure na kupanga bei za chini na mfanya biashara wa kawaida mikoani atashinda nae vipi? Kwanini Mwinyi hakupigania kujenga sheria na njia za kuzuia rushwa kabla ya "ruksa" Hawa so called Matajiri Tanzania ndipo walipo fumuka na kuanza Kuwaibia Watanzania including Mama Siti" Kitu kingine Mwinyi angekifanya ni kuhimarisha hawa wananchi kielimu, kibiashara na technologia endapo Tanzania itaelekea kufungua mipaka kwa watu nje, hiki ndicho kinaendelea na Jk East African Community - wanafungua milango kwa nchi zilizo mbali kiuchumi bila kuangalia wanachi wao wata compete vipi na kufanikiwa. Same all game, stand for mafisadi...

Hakuna Economic Theory ya "Ruksa Bila Safe Guard ya Taifa" Tanzania Tunahitaji Uimarishaji wa Sheria - Katiba na Viongozi wa Ukweli Sio Poor and Short Sited People
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom