Watanzania mliokuwa mnamtukana Hayati Magufuli mkaungame na mkaombe msamaha kaburini kwake

Darleen

JF-Expert Member
Dec 2, 2017
570
483
Nimesoma makala moja humu ni dhahiri tunaendeshwa na mabeberu tena wametukalia mabegani.
Kipindi cha stiglers goj sijui george nlitaka kushawishika kuwa mradi ule ulikuwa unaharibu mazingira, ila niliangalia faida za kuwa na bwawa kuba la umeme ni nyingi kuliko kutunza mazingira ya eneo lile.

Ikumbukwe mimi ni mfurukutwa wa magufuli wa kufa na kuzikwa naye.

Bomba la mafuta la hoima ambalo lilikuwa liende kenya jamaa akafanya ya kufanya likahamia kwetu wakenya wakaanza kuandamana mpaka marekani wakishinikiza linaharibu mazingira na linapitia kaya nyingi zitapata madhara, sikujua nyuma yao kunawapumbavu wanajiita eu wanaendesha propaganda za kijinga.

Juzi kupitia bunge lao la kijinga wametoa tamko kulaani ujenzi wa hili bomba kuwa ni uchafuzi wa mazingira. Nikakumbuka kauli ya jpm akisema vita ya uchumi ni mbaya.

Najua kuna haters walimchukia sana hiyu mzee kiasi cha kuomba na kufunga afe na alikufa kweli.

Sasa nawapa wito mkaungame dhambi hii either msikitini ama kanisani ama chumbani kwako jifungie mwombe Mungu akusamehe. Ukimaliza tembelea kaburi lake kaweke shada la maua umwombe msamaha na kule aliko atakusikia.

Ninayo mengi sana ya kuandika nlitamani niandike ila naomba tu niishie hapa kwa sasa.
 
Yule mwamba alikuwa Tishio kwa Nchi za Ulaya na Africa.
Na bahati yao sanaa.Angehudumu walau Muhongo mmoja nahisi leo tungekuwa taifa la kila sifa.

Acha sasa watu wanalipuka na taaluma zao za mchingo na kujisifia ujinga
 
Ni Kweli vita vya uchumi ni ngumu sana, kila kitu ambacho kitafanya au kuleta maendeleo katika nchi hasa za africa lazima nchi au baadhi za nchi zikupinge na mpaka sasa hivi nimesikia nchi za huku ulaya wamekaa kikao na kupinga uendelezi wa mradi huo kuanzia Uganda na tanzania
 
Back
Top Bottom