Hakika Mkuu,Uzi wa kipuuzi sana huu asubuhi asubuhi
Kwa maendeleo ya ukanda wa chato sio tanzania.Hakika Mkuu,
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA kwa maendeleo ya Watanzania
Endelea kuota ndoto yako usijigeuze ila ukihisi haja ndogo amka uende toilet usijegeuka kikojozi.Kwa maendeleo ya ukanda wa chato sio tanzania.
Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania chini ya uongozi madhubuti wa Tundu Lissu.
sindano ishaingia usitingishe kalio tulia hivyohivyo.Uzi wa kipuuzi sana huu asubuhi asubuhi
Foolish ccm wanadhani watanzania wa leo ndo wa janaUchaguzi siyo jambo la hamasa na ushabiki kama vile ambavyo wanasiasa wanajaribu kujenga hamasa na ushabiki ili kuwatoa watu katika hoja .
Uchaguzi ni jambo la kimaendeleo hivyo halipaswi kufanywa kishabiki na kwa hamasa kama linavyoanyika kwa sasa.
Nianze na CCM yangu kwanini mnabeba wasanii ktk mikutano ya kampeni?
Hii maana yake ni kwamba mnataka kutumia umaarufu na ngekewa za wasanii kuwalaghai wapiga kura , hili ni kosa bali jambo linapaswa kujengewa hoja, uchaguzi na kampeni siyo harusi kwamba yahitaji mziki na burudani bali ni shughuli ya maendeleo inayotakiwa kupewa uzito zaidi ya Tume ya makinikia.
CCM msifanye mzaha na uchaguzi , Jengeni hoja ambazo zitaibua fikra chanya kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.
Tanzania ni mali ya watanzania wote, ccm kuondoka madarakani siyo mwisho wa Tanzania, Changes is universal priniples, duniani kote mabadiliko yanatokea, Tangu kale tawala zilianguka na maisha yakaendelea vizuri.
Mfano, Russia ya zamani enzi za Tzar Nicholaus II, China chini king chiang Kai shek alianguka na china ikaendelea vzr sana.
CCM acheni kuwapotosha watu kuwa chadema ametumwa na mabeberu.
Mabeberu ni akina nani?
Siyo wale mlioingia nao biashara ya kununua ndege, siyo wale wanaokupeni mabilion kwa ajili ya maendeleo?
mdahalo mnautaka au hamtaki?
Katika maneno ya kipumbavu kuwahi kuibuliwa miaka ya sasa ni neno Mabeberu.
Hao wazungu wakiwapa misaada mnakuwa wa mbele mbele kuipokea kama Tai ila wakiwakosoa mnakuwa wakali kama mbogo, shenz type
Duh,tutaumia sana, kutekana, kufunguliana makesi ya ajabuajabuHakika Mkuu,
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA kwa maendeleo ya Watanzania
Heshimu mamlaka na tii sheria utaishi kwa amani, hakuna nchi ambayo haina miiko ndugu U.S.A yenyewe ambayo mnasema ni Baba wa Demokrasia wana miiko yao angalieni Snowden alivyokimbiaDuh,tutaumia sana, kutekana, kufunguliana makesi ya ajabuajabu
Hupendi hoja kama mwenyekiti wako? 😆Uzi wa kipuuzi sana huu asubuhi asubuhi
Msemaji mkuu wa CCM, jamvini Pascal mayalla hebu njoo umwage wino hukuUchaguzi siyo jambo la hamasa na ushabiki kama vile ambavyo wanasiasa wanajaribu kujenga hamasa na ushabiki ili kuwatoa watu katika hoja .