hebu na wewe usiwe mshamba kiasi hicho!!!!!!!!!!!! Sio kwamba hawajui kutamka, wewe unataka wamtamke kiingereza huku wansoma taarifa kiswahili? Kwani itv yetu uingereza wanaiona? Anyway huyo murray anatusaidia nini sisi? Kila mtu ana lafudhi yake kwa hio mimi siwezi kushangaa matamshi ya mtu bali huwa naangalia mpangailio wa habari.