haki na usawa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 485
- 138
Daah..! Nimeipenda sana hii, sina nyongeza tena katika hili. Mkuu keshamaliza.unachoongea ni kweli lakini kumbuka hata wazungu baadhi ya majina ya kiafrika yanawasumbua kutamka nao tuseme hawajasoma? Mkuu tofautisha neno na jina.
Cha msingi ujumbe uliuelewa. Hata wewe unaherufi zinakushinda na hii inaitwa "LAFUDHI YA MAMA"/"MOTHER TANG" hii kurekebishika ni kazi kurekebishika
Mfano
Wasukuma/Wahaya/Wachaga/Wamakonde/Waarusha /n.k hata kama ni msomi/waziri/katibu mkuu/mkuu wa mkoa/n.k akiongea kiswahili unamjua kwa lafudhi yake japo maneno ni ya kiswahili
Na hii ni kwa kila kabila sio hayo tu
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari za ITV lakini nashidwa kujua nikusoma awajui hawa watangazaji wao au nini.
nasema hivi kwasababu kila mtangazaji wao huwa anashidwa kutamka jina la mchezaji tennis wa UK Andy Murray, yaani ukisikia wanavyotamka nadhani huyu mchezaji akiwasikia au mtu yeyoto ni kituko.
naomba kuwasilisha kama namwingine ameona udhaifu huu.
your very silly.
Sasa hapo sijui umenielimishaje!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! weka sauti yako basi nisikie wewe unavyolitamka, hapa umeandika tu jina hebu litamke! Na ni kwanini unamfuatilia sana huyo jamaa kila taarifa ya habari?kaka jina lamtu ni lamtu tuu, usije ukajitetea kwamba eti wanalitamka kiswahili, mbona channel 10, TBC na hata pia star tv wanatangaza kwakiswahili na wanalitamka vizuri tuu.
au star tv nichaneli ya kiingereza vile vile chaneli ten.
tumieni akili kama jambo hujui, ukielimwisha shukuru.
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari za ITV lakini nashidwa kujua nikusoma awajui hawa watangazaji wao au nini.
nasema hivi kwasababu kila mtangazaji wao huwa anashidwa kutamka jina la mchezaji tennis wa UK Andy Murray, yaani ukisikia wanavyotamka nadhani huyu mchezaji akiwasikia au mtu yeyoto ni kituko.
naomba kuwasilisha kama namwingine ameona udhaifu huu.
ajira za kiundugu hazifichi kitu
unachoongea ni kweli lakini kumbuka hata wazungu baadhi ya majina ya kiafrika yanawasumbua kutamka nao tuseme hawajasoma? Mkuu tofautisha neno na jina.