Chali wa Moshi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 258
- 61
hebu na wewe usiwe mshamba kiasi hicho!!!!!!!!!!!! Sio kwamba hawajui kutamka, wewe unataka wamtamke kiingereza huku wansoma taarifa kiswahili? Kwani itv yetu uingereza wanaiona? Anyway huyo murray anatusaidia nini sisi? Kila mtu ana lafudhi yake kwa hio mimi siwezi kushangaa matamshi ya mtu bali huwa naangalia mpangailio wa habari.nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari za itv lakini nashidwa kujua nikusoma awajui hawa watangazaji wao au nini.
Nasema hivi kwasababu kila mtangazaji wao huwa anashidwa kutamka jina la mchezaji tennis wa uk andy murray, yaani ukisikia wanavyotamka nadhani huyu mchezaji akiwasikia au mtu yeyoto ni kituko.
Naomba kuwasilisha kama namwingine ameona udhaifu huu.
hii ni siasa?
hebu na wewe usiwe mshamba kiasi hicho!!!!!!!!!!!! Sio kwamba hawajui kutamka, wewe unataka wamtamke kiingereza huku wansoma taarifa kiswahili? Kwani itv yetu uingereza wanaiona? Anyway huyo murray anatusaidia nini sisi? Kila mtu ana lafudhi yake kwa hio mimi siwezi kushangaa matamshi ya mtu bali huwa naangalia mpangailio wa habari.
jamaa wanatamka hili jina hivi murai while jina linatamkwa mari.
you see!! nafaida kwa wengine wasiojua.
wewe unayejua umepata faida gani? wewe na mwenzako nendeni jukwaa la
lugha mkafundishane namna ya kusoma huko, mkifaulu ndo mje jukwaa la siasa.
mona maximo alikuwa anamuita mrisho ngassa "mirisho ngasa" hukusema au kwa kuwa ni mweupe. Huyo mtangazaji ni mtanzania so akikosea kutamka jina la kizungu sio issue. You should decolonize your mind.
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari za ITV lakini nashidwa kujua nikusoma awajui hawa watangazaji wao au nini.
nasema hivi kwasababu kila mtangazaji wao huwa anashidwa kutamka jina la mchezaji tennis wa UK Andy Murray, yaani ukisikia wanavyotamka nadhani huyu mchezaji akiwasikia au mtu yeyoto ni kituko.
naomba kuwasilisha kama namwingine ameona udhaifu huu.
Umekosea. It is not its right place. Hili ni jukwaa la siasa. Sasa wacheza tennis wanafikaje kwenye siasa????? Unatuharibia attention ya Arumeru mashariki.