Nauliza kuhusu hizi simu zetu hususani za batan.
Je; ni kweli kwamba Kuna kipindi zinaisha nguvu ya kukamata network ya mitandao ya simu?. Kwa sababu niko kijijini Nina simu yangu ya batani ambayo kwa sasa haikamati kabisa mtandao "network" ya laini yoyote ile, huwa inaandika tu 'no service'. Hii ni tofauti na kipindi kile wakati simu mpya ilikuwa inakamata mtandao vizuri tu.