Tafsiri Rahisi: Watakaokuja kutalii Tanzania hawataruhusiwa kurudi kwao

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Hii math haihitaji kuwa genius. Hakuna nchi inaruhusu watu kuingia kwao hata kama ji raia.

Kwa sasa wanaorudishwa, wanawekwa quarantine for 14 days, wakati Tanzania hakuna kitu kama hicho.

Nchi gani duniani itaruhusu raia wake waje lwa raha zao Tanzania kisha waridishe maambukizi nchini kwao?

Simple, kingwala anza kuandaa makazi ya kudumu ya watalii , na wale watakao pata mashida, itabidi taratibu zifanyike hapa hapa.

Duniani inavyo kwenda nadhani ile certificate ya manjano itahamia kwa corona.

Ni vyema kuwa wawazi ili kupata connection za wengine.

Usitumie chaga za kitanda kutengeneza moto kwa raha ya siku moja, utalala chini maisha yalo yote.
IMG_20200525_115155.jpeg
 
Back
Top Bottom