Wataalamu wa video editing piteni hapa!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,999
Heshima kwenu jamani!
nimeinstall sony vegas pro 12 nikaingiza serial key then nika register from another computer nikajaza yale maelezo yote kisha nika save.
Tatizo linaanzia inapoomba activation code nikijaza izazikataa kwamba haziko sahihi!
Natumia Laptop compac RAM 4 GB
windows 7 64 bts
hivyo naomba mwenye key generator au patch anisaidie!
Ama njia yoyote hata mwenye vegas isiyo na tatizo anaweza nisaidia pia...natanguliza shukrani!!!
 
Itafute hapa www.kat.cr, Ikiwezekana download full package iliyo na Setup pamoja na Activator/patcher kutoka kwa uploader mmoja
 
ni bahati mbaya sana mimi siyo mtumiaji wa product ya vegas,ingekuwa adobe premiere pro,final cut pro ama media composer ningeweza kukusadia kwa kuwa hizo zote zipo ndani ya uwezo wangu.vuta subira tu,watu wa vegas watakuja kutoa maelezo yenye msaada.
 
Heshima kwenu jamani!
nimeinstall sony vegas pro 12 nikaingiza serial key then nika register from another computer nikajaza yale maelezo yote kisha nika save.

Ndo nini hapa? Kwaninu ufanye registration kwenye computer nyengine?


Umeipata wapi hio vegas? Huwezi ukadownload random sony vegas na ukatafuta random key then ikakubali. Na ikikubali ujue umebahatisha tu.

Tafuta file lenye crack yake hapo hapo torrent yamejaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…