Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 May 12, 2018 #1 Habarini wakuu, nimebadirisha OS kwenye PC yangu toka win 10 kwenda Ubuntu 16.04 Shida ni kwamba sioni Disk drives zangu za NTFS So naomba msaada Pia nahitahi ku update drivers pia. Msaada
Habarini wakuu, nimebadirisha OS kwenye PC yangu toka win 10 kwenda Ubuntu 16.04 Shida ni kwamba sioni Disk drives zangu za NTFS So naomba msaada Pia nahitahi ku update drivers pia. Msaada
Wizzdude JF-Expert Member Joined Apr 4, 2015 Posts 234 Reaction score 405 May 12, 2018 #2 Tuwasubir wataalam
thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,867 Reaction score 4,859 May 12, 2018 #3 Hiyo ubuntu ipo pekee yake? na ulikuwa unataka drivers gani?
dasoul Member Joined Dec 25, 2017 Posts 54 Reaction score 17 May 13, 2018 #4 Hazchem plate said: Habarini wakuu, nimebadirisha OS kwenye PC yangu toka win 10 kwenda Ubuntu 16.04 Shida ni kwamba sioni Disk drives zangu za NTFS So naomba msaada Pia nahitahi ku update drivers pia. Msaada Click to expand... Kwanz ubuntu inatumia ext* file system..! Kuhus disk, Open terminal and type this command lsblk . Utawez kuon list ya disk. Hii command ni kam ya "list disk" ukiw una run diskpart utility kweny windows. Hope it helps kidg.
Hazchem plate said: Habarini wakuu, nimebadirisha OS kwenye PC yangu toka win 10 kwenda Ubuntu 16.04 Shida ni kwamba sioni Disk drives zangu za NTFS So naomba msaada Pia nahitahi ku update drivers pia. Msaada Click to expand... Kwanz ubuntu inatumia ext* file system..! Kuhus disk, Open terminal and type this command lsblk . Utawez kuon list ya disk. Hii command ni kam ya "list disk" ukiw una run diskpart utility kweny windows. Hope it helps kidg.
Johnny Impact JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 5,710 Reaction score 9,317 May 13, 2018 #5 Hazchem plate said: Habarini wakuu, nimebadirisha OS kwenye PC yangu toka win 10 kwenda Ubuntu 16.04 Shida ni kwamba sioni Disk drives zangu za NTFS So naomba msaada Pia nahitahi ku update drivers pia. Msaada Click to expand... How do I install additional drivers?
Hazchem plate said: Habarini wakuu, nimebadirisha OS kwenye PC yangu toka win 10 kwenda Ubuntu 16.04 Shida ni kwamba sioni Disk drives zangu za NTFS So naomba msaada Pia nahitahi ku update drivers pia. Msaada Click to expand... How do I install additional drivers?