zakayohabeli
Member
- Aug 14, 2019
- 58
- 25
Asante Sanaa mkuu ngoja nijaribu fasterUmeshaua damper
Kama una utaalam wa kuweza kucheki. Chomoa hiyo circuit then chomoa damper icheki kama iko nzima.
Ukifanikiwa kuicheki damper na ukiikuta bado nzima kagua Capacitor kama hakuna iliyofumuka, then iwashe ikikataa, badili IC ndogo ya mbele (memory IC) inaanzia na namba 24Cxx (inaweza kuwa 24C04).
Hahahahaaaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16]Kitu napenda chogo haihitaji stand [emoji1787][emoji1787]
Ukitaka hata wewe unaweza kukaa juu yake bila stress
Kitu napenda chogo haihitaji stand [emoji1787][emoji1787]
Ukitaka hata wewe unaweza kukaa juu yake bila stress
Jibu moja tu kioo huenda ikawa umeiunguza kwa huo uzembe wako. Pili ilipokuwa inatoa moshi Crt ilikuwa jnakosea Graund na Volt ndio maana ikawa inatoa moshiKuna tv hapa aina ya hitach chogo yaani ilikua inagoma kuwaka sasa nimepambananayo sicruit ikawa imewaka an ila sasa kuleta mwanga kwe kioo ilikua sjafanikiwa an nikiiwasha ilikua inatoa Moshi kwwnye crt sasa nikajarib kuichomoa crt nikaisafisha nikawa nakazia kazia japokua hapakua na luzi yoyote ila tatuzo likawa Bado liko palepale an nikiiwasha inatoa Moshi kwenye crt nikiangalia kilichoungua sikioni sasa.
Skukata tamaa nikaichomoa Tena crt nikaisafisha Tena an wakat wa kurudishia sasa ground ilioshika kioo nikasahau kuirudishia wakat huo nimeshaichoneka crt sasa nimeiwasha tv nikiwa nimesahau kuchomeka ground ya srceen inayoenda kwenye crt nikasikia taaaaaa. Kama kitu nimeungua an nikazima haraka nikarudishia ile ground kuja kuwasha Tena an inawaka stand by tu an hata FBT haitem wakuu msaada tafadhal[emoji120][emoji120].
Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
Du nimechekaKitu napenda chogo haihitaji stand [emoji1787][emoji1787]
Ukitaka hata wewe unaweza kukaa juu yake bila stress
Kwa ujumla Hapo kuna mambo mengi mkuu hata virticle inaweza sababisha na C2383 au C1518 Na pia optocoupler n.k n.k ila kama hajaunguza kioo maaana kwa maelezo yake sidhani kama kioo itakuwa haiUmeshaua damper
Kama una utaalam wa kuweza kucheki. Chomoa hiyo circuit then chomoa damper icheki kama iko nzima.
Ukifanikiwa kuicheki damper na ukiikuta bado nzima kagua Capacitor kama hakuna iliyofumuka, then iwashe ikikataa, badili IC ndogo ya mbele (memory IC) inaanzia na namba 24Cxx (inaweza kuwa 24C04).
Lakini kama inakaa st-by basi opto-coupler haina tatizo. Kiufupi aitoe circuit pembeni aangalie hizo kasoro na hata wakati wa kuijaribu atumie tube nyingine, then kwenye crt aangalie kama inatumia tansistor au IC. kama zipo hai maana alishasema ilikuwa inatoa moshi.Kwa ujumla Hapo kuna mambo mengi mkuu hata virticle inaweza sababisha na C2383 au C1518 Na pia optocoupler n.k n.k ila kama hajaunguza kioo maaana kwa maelezo yake sidhani kama kioo itakuwa hai
Kwahy kioo Kikiifa mpaka fbt itakua haitemi et??Jibu moja tu kioo huenda ikawa umeiunguza kwa huo uzembe wako. Pili ilipokuwa inatoa moshi Crt ilikuwa jnakosea Graund na Volt ndio maana ikawa inatoa moshi
Saiv nachotaka an fbt iteme tu ikisha tema ndio ntajua kioo kimekufa au laa maana circuit ninayo pembeni huku an nimechomoa waya zote ninebakisha wa standby na button tuKwa ujumla Hapo kuna mambo mengi mkuu hata virticle inaweza sababisha na C2383 au C1518 Na pia optocoupler n.k n.k ila kama hajaunguza kioo maaana kwa maelezo yake sidhani kama kioo itakuwa hai
Mkuu mrejesho tafadhaliSaiv nachotaka an fbt iteme tu ikisha tema ndio ntajua kioo kimekufa au laa maana circuit ninayo pembeni huku an nimechomoa waya zote ninebakisha wa standby na button tu
Fbt kutotema ni volt hazifiki 110 au sometime Reguleta za kuswitch zimekufaKwahy kioo Kikiifa mpaka fbt itakua haitemi et??
Angalia volt 110 kama ziko sawa volt 5 na Transistar za kuswitch au VerticleSaiv nachotaka an fbt iteme tu ikisha tema ndio ntajua kioo kimekufa au laa maana circuit ninayo pembeni huku an nimechomoa waya zote ninebakisha wa standby na button tu