Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,190
- 1,324
Habari humu ndani.
Jamani wataalam wa magonjwa ya kina mama naombeni mawazo yenu hapa juu ya afya ya mama watoto. Akikaribia bleed huwa anakua na mambo yafuatayo.
1. Zikibaki kama siku tano aingie hedhi tumbo linajaa sana unaweza sema ana mimba hata ya miezi mitatu ila akibleed tu linaisha kabisa anakua normal.
2. Akikaribia hedhi anatoka chunusi na uso unakua na rashes ila akimaliza anakua soft kama zamani.
3. Kuna kipindi tumbo linamuuma sn akikaribia kuingia.
4. Akikaribia kuingia eneo la kiuno linakua lamoto sana na kiuno kinakaza sana. Yani anachemka sana ila akianza tu panapoa.
5. Mara kwa mara anapata kichef chef na dalili zote za mimba lakini unashangaa ana bleed
Niko nae mwaka sasa hajawahi kunasa mimba.
N. B nilishaenda hosp wakampima vipimo vya homoni wakasema yuko ok, kipimo cha mirija kile kinachouma sana wakasema yuko ok sasa hata sijajua nifanye nini nafikiria kurudi tena hospital coz ni miezi miwili tangu afanyiwe vipimo. Nahitaji mtoto jamani mwenye mawazo na kujua tiba ya hizi mambo tafadhali.
Amani iwe nanyi
Kuna mambo kadhaa. Je alikwisha wahi kutoa mimba ngapi. muulize? Inaonesha ni madhara ya utumiaji wa dawa za kuzuia mimba. Vidonge vya uzazi wa mpango vina madhara sana, lakini watu wabishi sana na kuendelea kutumia.
she is very faithful, hajawahi toa mimba hata moja nimekua karibu nae kwa miaka kama nane hivi namfaham vizuri ila alishawahi tumia contraceptiv pills kama mara mili ivi kama njia ya kujikinga na mimba miaka kama mitano iliyopita coz dat time alikua girlfriend wangu. Nina uhakika hajawahi toa mimba
Nisha kwambia wacha hayo kwa upuzi wako kazana
Kunawatu hujisikia aibu kwa utanzania wake ok i'm optimistic, you do not tobe outdo of oratorymwanaume huwa " anakazana " au huwa " anakaza? " kiswahili chenyewe hujui sijui wewe mtanzania wa wapi. au mwenzetu ni asylum seeker?
Kaka Jambazi hayo ni masaibu tu ya wanawake ka hyo dalili ya tumbo kujaa na mtu namfahamu lake hujaa sana, kuumwa tumbo, kiuno ila huyu tatizo lake ka hashiki mimba awaone wataalamu. Au ukute mwanaume ana low sperm count.
Kunawatu hujisikia aibu kwa utanzania wake ok i'm optimistic, you do not tobe outdo of oratory
Vip wew umepimwa hauna tatizo? Ngoja nikuitie doctor Nandi jr njo huku
Habari humu ndani.
Jamani wataalam wa magonjwa ya kina mama naombeni mawazo yenu hapa juu ya afya ya mama watoto. Akikaribia bleed huwa anakua na mambo yafuatayo.
1. Zikibaki kama siku tano aingie hedhi tumbo linajaa sana unaweza sema ana mimba hata ya miezi mitatu ila akibleed tu linaisha kabisa anakua normal.
2. Akikaribia hedhi anatoka chunusi na uso unakua na rashes ila akimaliza anakua soft kama zamani.
3. Kuna kipindi tumbo linamuuma sana akikaribia kuingia.
4. Akikaribia kuingia eneo la kiuno linakua lamoto sana na kiuno kinakaza sana. Yani anachemka sana ila akianza tu panapoa.
5. Mara kwa mara anapata kichefu chefu na dalili zote za mimba lakini unashangaa ana bleed.
Niko nae mwaka sasa hajawahi kunasa mimba.
N. B nilishaenda hosp wakampima vipimo vya homoni wakasema yuko ok, kipimo cha mirija kile kinachouma sana wakasema yuko ok.
Sasa hata sijajua nifanye nini nafikiria kurudi tena hospital coz ni miezi miwili tangu afanyiwe vipimo.
Nahitaji mtoto jamani mwenye mawazo na kujua tiba ya hizi mambo tafadhali.
Amani iwe nanyi