Elias Bihemo
Member
- Jul 4, 2017
- 22
- 8
Habari wanajamvi,
Mimi ni mjasiriamali Mdogo ambaye kwa sasa nmejikita katika kutengeneza bites lakin uzalishaji wangu umekua n wakusua sua kutokana na kukosa vitendeakazi,
Ukosefu huu unatokana na udogo wa mtaji na kutopatikana kwa baadhi ya vifaa hata kama pesa ipo ya kuvinunua,
Sasa naomba kwa yeyote anaejua napoweza kupata machine ya kunyoosha unga wa ngano ulokwisha kandwa, kwajil ya kupata chapati ya kutengenezea sambusa anipe maelekezo jinsi ya kupata machine hiyo,
Ahsanteni