Wataalamu wa kudukua/ ku-hack simu za wenza wetu tukutane hapa kueleza athari tulizozipata baada ya kujifanya wajanja!

Huu uzi n wa mizinguo tu hamna mwenye hiyo program,..hata mmoja aliendika nae anaitafuta
Mkuu hua haya mambo si ya kubahatisha!
Angalia ushuhuda huo hapo chini ya mkuuu niliempa maujuzi!
Yakikutokea puani mimi simo mana unaweza ukutane nayo ya kufisha( yakuvunja moyo) tusilaumiane.
20181203_225011.jpeg
 
Kudukua ni simple,tena kwa free software...simu yoyote haichomoki! 5MB tu software size yake! Unasikiliza call recordings,sms,kama simu yake ipo rooted hadi wasap insta na snapchat hadi email zake utasoma.

Utawesa kuangalia screen yake na ukajua anafanya nini au anachat nini au anaangalia nn kwenye simu yake kwa wakati huo,utaweza kutumia camera ya simu yake na kuona yupo wapi na anafanya nn wakati huo unapomcheck!

SIMPLE
 
Ni kwamba kutaja hiyo software au jinsi ya kufanya hadi mtu abembeleze au namna gani, maana kila mtu anazunguka zunguka tu. Hamna anayeenda straight kwenye nini cha kufanya.

Uduakuaji wa kushika simu ya mhusika hata Mimi nilishafanya sana. Truthspy inawezesha hiyo mambo.

Natafta jinsi ya kuhack remotely kwa kutumia email, or imei or phone number bila kushika simu ya mtu.
 
Kuna mtu kasema anaweza.. ngoja tumsikilize
 
Mi naona watu hum wazinguaji tu kama vp simtupe tu?
Hayo mambo si krahisi kama unavyodhani! ikawa matangazo! na si lazima tujue wote! wote tukijua nani atakaedukuliwa? ukiwa serious utajua
 
Kudukua ni simple,tena kwa free software...simu yoyote haichomoki! 5MB tu software size yake! Unasikiliza call recordings,sms,kama simu yake ipo rooted hadi wasap insta na snapchat hadi email zake utasoma.

Utawesa kuangalia screen yake na ukajua anafanya nini au anachat nini au anaangalia nn kwenye simu yake kwa wakati huo,utaweza kutumia camera ya simu yake na kuona yupo wapi na anafanya nn wakati huo unapomcheck!

SIMPLE
Je ukiwa namba yake inawezekana
 
Ni kwamba kutaja hiyo software au jinsi ya kufanya hadi mtu abembeleze au namna gani, maana kila mtu anazunguka zunguka tu. Hamna anayeenda straight kwenye nini cha kufanya.

Uduakuaji wa kushika simu ya mhusika hata Mimi nilishafanya sana. Truthspy inawezesha hiyo mambo.

Natafta jinsi ya kuhack remotely kwa kutumia email, or imei or phone number bila kushika simu ya mtu.
Nielekeze hiyo ya namba mkuu
 
Kudukua ni simple,tena kwa free software...simu yoyote haichomoki! 5MB tu software size yake! Unasikiliza call recordings,sms,kama simu yake ipo rooted hadi wasap insta na snapchat hadi email zake utasoma.

Utawesa kuangalia screen yake na ukajua anafanya nini au anachat nini au anaangalia nn kwenye simu yake kwa wakati huo,utaweza kutumia camera ya simu yake na kuona yupo wapi na anafanya nn wakati huo unapomcheck!

SIMPLE
yes hii ni kweli kuna hiyo teknolojia...yaan ukiamua kumpiga picha unaweza...unachofanya unatuma request kwenye cmu yake then inampiga picha
 
Hayo mambo si krahisi kama unavyodhani! ikawa matangazo! na si lazima tujue wote! wote tukijua nani atakaedukuliwa? ukiwa serious utajua
Maana ya kuuleta huu Uzi ni kwamba mtu ambae hata aufanyie kaz bas anasoma anapita zake. Ila kuna ambao wanashida na wanahtaji kujua ni app ya aina gani na unadukuaje sasa wengi wanaozijua wanazunguka tu hata hawatoi majibu sahihi!
Kama app unaijua we taja kila mtu atatumia kwa risk yake.
Au kama kuitaja jina hiyo app hadi mtu alipie bas muwe wazi. Emu mtusaidie jaman watu tunadanganywa sana na hawa viumbe we unajidai upo pekeako kumbe mpo hata zaidi ya watano.
 
Back
Top Bottom