Nina miembe ya kuunga (dodo etc) umri kama miaka 4. Tatizo: Inatoa maua kidog na kuzaa maembe kidogo. Miembe ya kienyeji kando yake inazaa sana. Tatizo ni nini? Nimejaribu kunyunyizia dawa ya kutoa maua lakini bado sijapata matokeo chanya. Nifanyeje?