Emmanuel S Jonathan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 389
- 292
Kama upo tayari kucheza kwa quality ndogo hizo games zinachezeka kwa hio machineWakuu naombeni msaada wenu jinsi ya kuunga GPU kwenye laptop niweze cheza game kama fortnite, [UBG, GTA 5 na zingiene zenye maadhi hayo vifaa ntakavyojitaji na gpu gani iwe budget gpu, laptop nayoyumia ni Toshiba Satellite Radius P55W-B5112
processor intel i7 5500u cpu
ram 8gb
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama upo tayari kucheza kwa quality ndogo hizo games zinachezeka kwa hio machine[/QUOTE
Sent from my iPhone using JamiiForums
[/
nilijaribu gta 5 ikawa ina lug sana mkuu , njia ya kuweka external gpu sio nzuri!??
@chief mkwawa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu Emmanuel S Jonathan laptop zisizo na thunderbolt 3 haziwezi kutumia gpu ya nje kwa ufanisi, hivyo hata kama utaweka usitegemee kupata speed yoyote ya maana.
Hio gta iliokuwa ina lag punguza resolution maybe 480p laptop yako itahandle smooth.