Habarini ndugu zangu,
Naenda kwenye maada. Kunajamaa kaja kuniomba nimfromatie flash disc, sasa nilipochomeka badala ya kuformate flash nikaformat partition yaha hard disk yangu ambayo inakama GB 400 na something hivi.
Swali langu je naweza kurecover nikapata mzigo wangu wote? Maanda kuna vitu vya muhimu sana.
Mwenye kuelewa hii inshu please anaisaidie.
Natakunguliza shukrani.
Ingia YouTube.Habarini ndugu zangu,

Google unapata bure from Free sources.Shida ipo kwenye kulipia mtandaoni sina huo uwezo.
1.kitu cha kwanza hiyo hard disk yako usiweke mafile yoyote(ukiweka mafaili probability ya kurecover itakuwa ndogo sana,..)
2.download easeus data recovery tumia torrent kupata cracked
3.enjoy........
nenda 1337x.to halafu search Easeus data recovery ukisha download utaifungua kuna maelezo jinsi ya kuinstall na kuiactivate.....Sijaweka chochote mpaka sasa. Hii inshu ya kupata crack ndiyo huwa siijui mkuu.