Wataalam wa webmail msaada tutani

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
nimesetup email zangu kwenye cpanel, pia kwenye simu na desktop zinakuja na kutoka poa tu, tatizo nnapotaka kulogin lazima niwe redirected kutoka kwenye cpanel.

niliconfigure kwa kutumia custom php webmail script (nilitaka anwani iwe http://mail.mtotosix.info) ila sikuweza kutuma wala kupokea mails,

sasa kama kuna mtaalamu ani help
ila sitaki ile ya google

cc nyasiro, Young Master, CTO, na wengine wote

natanguliza shukrani
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama nilielewa swali lako fresh, ila kwa upande wa mail.mtotosix.info uliupdate mx records?
 
Sidhani kama nilielewa swali lako fresh, ila kwa upande wa mail.mtotosix.info uliupdate mx records?

yani nataka custom webmail client badala ile ya cpanel ambayo inanilazimu niingie kwanza kwenye cpanel kisha itanidirect kwenye mail client, nataka nnapoandika mail.mtotosix.info iwe inakuja login box na nikologin niingiie inbox sio inipeleke cpanel then ndo niemde kwenye mail
 
now nimekupata, unamaanisha kitu kama webmail.ilovetz.com ? Let me dig kwanza, kuna uwezekano wa kucreate login custom login page kwa kutumia link iliyo ktk browser ukiwa loged in ktk email yako.
 
now nimekupata, unamaanisha kitu kama webmail.ilovetz.com ? Let me dig kwanza, kuna uwezekano wa kucreate login custom login page kwa kutumia link iliyo ktk browser ukiwa loged in ktk email yako.

nnayo custom webmail script ila shida tu ni configuration, kuinstall ina install poa ila kuconnect sasa ili iweze kutuma na kipokea ndo ishu
 
hapo sasa ni mpaka kuicheck configuration arif.... coz kunaweza kuwa na sababu kadhaa za kwanini inafeli.
 
Unataka kuitumia kwa ajili ya inbuild clients Au una interface ya kwako?
Sijaelewa vizuri hapo. Kwamba unataka kubadili url tu au kuna kingine?
 
Unataka kuitumia kwa ajili ya inbuild clients Au una interface ya kwako?
Sijaelewa vizuri hapo. Kwamba unataka kubadili url tu au kuna kingine?

ana script ya webmail, naona ni personal. Anataka itumia ila inafail kutuma na kupoke email
 
Mkuu C6 kuna njia mbili ambazo naweza kuzifikira kwa sasa. Either uinstalll script yako ya e-mail au utumie zile software za e-mail zilizopo mle na uset moja wapo as the default ili isiwe inakuredirect na pia ili uweze kulogin kwenye e-mail moja kwa moja instead of cpanel. so which one of these do you want?
 
Last edited by a moderator:
Unataka kuitumia kwa ajili ya inbuild clients Au una interface ya kwako?
Sijaelewa vizuri hapo. Kwamba unataka kubadili url tu au kuna kingine?

nnataka kutumia webmail client yangu ambayo ina interface mbili ya users na admin badala kuingia cpanel kwanza nitengeneze email account au nikilogin ini direct to roundcube etc
 

nimeinstall script yangu ndo tatizo liko hapo, haikubali kuconnect nadhani config ndo nimekosea
 
Last edited by a moderator:
sasa iyo code naifanyaje? inakubali kwenye roundcube au squirelmail?

mimi naitumia kwa roundcube na squirel mail. Hizi zitakupa login page tu ambayo ni short cut ya kuingia kwenye cpanel. Ila pale kwenye link ya ilovetz inatakiwa kuwepo link ya mail server ya host wako na si mail.mtotosix.info
 
kama vp tupia screen shot ya configuration page

hapana, sitaweka scrnshot, maana config ziko ndani ya cpanel sio kwenye script. ngoja kuna fundi kaingia kuchokonoa ikifanikiwa ntarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…