Mazishi yangu
Member
- Aug 23, 2026
- 44
- 109
Hii sio kweliHawa wadada ni wazur mno shepu,miguu ya bia,kichuguu na weng lightskin.hamna kabila hapa Tanzania inawakuta wasukuma kwa uzur wao ni natural kbs no filter.
Wachaga kwenye mapenzi inaonekana ni wabovu kwa asili na jitihada za kuwarekebisha tunakubaliana kama Taifa kwamba zimeshindikanaWachagga wabovu mno!
Huo ni uongoWachagga wabovu mno!
ni majina tu kama mengine.
Nikifa mke wangu asiolewe,
Hatukatai wasukuma wazuri. Ila wanaoongoza kwa uzuri ni wanyaturu na wairaqwu wa Manyara.Hawa wadada ni wazur mno shepu,miguu ya bia,kichuguu na weng lightskin.hamna kabila hapa Tanzania inawakuta wasukuma kwa uzur wao ni natural kbs no filter.
Atakua ajafika huko mkuu..Hatukatai wasukuma wazuri. Ila anaoongoza kwa uzuri ni wanyaturu na wairaqwu wa manyara.
Daaah!!...umenikumbusha miaka ileee ya ujana wangu usukumani huko magu ndanindani
Bado sana kijana kupata utelezi wa kisukuma Ume anza kukandia makabila mengine una jua hii nchi ina mikoa zaid ya 26 na wilaya zaid ya 100+ sasa jitahidi ufanye sampling ya wilaya 25 ndo uje na tafitiWachagga wabovu mno!
Wakarimu sanaUmewacharaza sana sio?
Wapi mkuu masanza kona au Nyamikoma😂😂Daaah!!...umenikumbusha miaka ileee ya ujana wangu usukumani huko magu ndanindani
Wazuri au k Yao tamu ,fafanuaHawa wadada ni wazur mno shepu,miguu ya bia,kichuguu na weng lightskin.hamna kabila hapa Tanzania inawakuta wasukuma kwa uzur wao ni natural kbs no filter.