Ache kelele wakati wa kupiga kura ukifika fanya uamuzi sahihi hizi kelele na matusi havina msaada katika ujenzi wa jamii mpya.Eneo la usukumani/unyamwezini kwa muda mrefu limetumika sana kunufaisha mafisi fulani ndani ya nchi hii.Haya mafisi na manyang'au wakubwa wanatokea chama tawala na vyama vya upinzani pia.Ni muda mwafaka sasa wa sisi wazawa kutambua nani atatufikisha Kanani na siyo kuendekeza siasa za kipumbavu, tuache mikumbo, tuchekeche tujue nani anatufaa.Mtu anayetokea nyumbani ni bora kuliko kibaka mwingine, tuwe macho tumechoka kuonewa
Eneo la usukumani/unyamwezini kwa muda mrefu limetumika sana kunufaisha mafisi fulani ndani ya nchi hii.Haya mafisi na manyang'au wakubwa wanatokea chama tawala na vyama vya upinzani pia.Ni muda mwafaka sasa wa sisi wazawa kutambua nani atatufikisha Kanani na siyo kuendekeza siasa za kipumbavu, tuache mikumbo, tuchekeche tujue nani anatufaa.Mtu anayetokea nyumbani ni bora kuliko kibaka mwingine, tuwe macho tumechoka kuonewa
Kwa mawazo yako unataka tufanyeje sasa?
Msukuma
Noted..tutaenda mwanza by plane..
Noted..tutaenda mwanza by plane..
Si mnaona hata hapa no seriousness! Nyie vaeni nguo nzuri na kukimbizana na totozi ila Uraisi waacheni watu wenye uwezo!
Vipi tena?kwani umekwambia anataka kugombea uraisi?
Kwa hiyo sifa kubwa ya mgombea urais mwakani ni kabila lake siyo? Nilikuwa sijui...Vipi tena?kwani umekwambia anataka kugombea uraisi?