Wasukuma/wanyamwezi inabidi tusimame imara kusimamia maendeleo ya nyumbani

Pilitoni

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
1,117
1,500
Eneo la usukumani/unyamwezini kwa muda mrefu limetumika sana kunufaisha mafisi fulani ndani ya nchi hii.Haya mafisi na manyang'au wakubwa wanatokea chama tawala na vyama vya upinzani pia.Ni muda mwafaka sasa wa sisi wazawa kutambua nani atatufikisha Kanani na siyo kuendekeza siasa za kipumbavu, tuache mikumbo, tuchekeche tujue nani anatufaa.Mtu anayetokea nyumbani ni bora kuliko kibaka mwingine, tuwe macho tumechoka kuonewa
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,939
2,000

Ache kelele wakati wa kupiga kura ukifika fanya uamuzi sahihi hizi kelele na matusi havina msaada katika ujenzi wa jamii mpya.
 
Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,024
1,195
Eneo la usukumani/unyamwezini kwa muda mrefu limetumika sana kunufaisha mafisi fulani ndani ya nchi hii.Haya mafisi na manyang'au wakubwa wanatokea chama tawala na vyama vya upinzani pia.Ni muda mwafaka sasa wa sisi wazawa kutambua nani atatufikisha Kanani na siyo kuendekeza siasa za kipumbavu, tuache mikumbo, tuchekeche tujue nani anatufaa.Mtu anayetokea nyumbani ni bora kuliko kibaka mwingine, tuwe macho tumechoka kuonewa

Usukumani na unyamwezi mtu wa kuwa Raisi hajazaliwa, yaliyopo yote ni makanjanja tu yanapenda wanawake, ufisadi na hayako serious for anything! Mpe kura mtu aliye serious na kuwatumikia watanzania bila kujali kabila au dini yake! Ila maccm waka mbali hayafai yote pia!
 
Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,024
1,195
Vipi tena?kwani umekwambia anataka kugombea uraisi?

Kwani mjadala ni nini? Wasukuma na wanyamwezi hamna kitu! Hata wabunge na madiwani zero tu! Kama wangekuwa watu wenye uwezo halmashauri zingekuwa zimefanya mambo mengi mazuri maana vyanzo vya mapato vipo tele...ushuru wa samaki, pamba,dhahabu, almasi ruzuku ya serikali kuu etc. Lakini hakuna hata kitu kimoja cha maana kilishawahi kufanyika hasa majimbo ya vijijini!
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Tanzania ni moja na kila mtu anahaki ya kufanya maendeleo au uwekezaji sehemu yoyote, nenda kila mkoa uulize uwekezaji wa wasukuma na wanyamwezi utabloooooo, ACHA ukabila na ukanda wako wakati huo umepita
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,239
2,000
jaamn hivi rostam si ndiye aliyeinyanyua tabora jamani..................hata kama fisadi lkn aliwafisadishia na nyie na leo hii mnakula wa chuya kwa uvivu wa kupembua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom