Wassira: UKAWA msiporudi CCM tutaendelea

Wassira na aendelee na Interahamwe wenzie,...Kamwe UKAWA hawatarudi kuongelea katiba ya CCM
 
Hizo ni kauli za watawala waliochoka na waliolewa madaraka. Hii ni dalili ya wazi kuwa CCM na viongozi wake wanadhani hii nchi ni mali ya CCM. Na kwa uelekeo huu wanajifanya kama hawajui kuwa wanaelekea kutuletea machafuko.

Haya na waendelee, halafu waone kama wanakaa madarakani kwa muda gani.
 
Jamaa nafki alikua NCCR Mageuzi kurudi ccm anajifanya ye ndio ccm kuliko wenyeji wake
 
Nitawashangaa sana UKAWA kama watarudi bungeni kuungana na interahamwe katika uchakachuaji wa maoni ya wananchi! Ukawa walinde heshima yao kwa gharama yoyote ile!
 
Muungwana hunena vitendo, Haya maneno yote yanatoka wapi? Debe tupu haliachi kutika.
 
Hawa ndiyo leaders wetu ambao wanaingia madarakani kwa hali na mali pia wengine they are ready to go to the bush hivi ndugu speaker naomba uwe unatoa recap ya previous vikao pamoja na picha za waheshimiwa ili those who are like what we can see waone aibu
 
Ameyasema hayo bungeni hivi punde kwamba Ukawa wasiporudi CCM wataendelea na vikao kwa kutafuta akidi itakyokidhi kanuni.
View attachment 158428

Ha ha ha ha ha ah..... Dah hoja za upinzani zimemfanya ubongo uchoke hadi usingizi tiiiiiiiiiiiiiii. wacha kuchezea upinzani utakufa kabla ya siku zako.
 
ni huyo alielala? amakweli kama katiba itatungwa na hawa,sijui kama itakua ni katiba au kitabu cha liwaya
 
Aliye lala usimwamshe, ukimwamsha utalala wewe.
 
Safi sana hawa UKAWA wana vimba vichwa sana, wanafikiri mambo hayaendi bila wao.

Hakuna kuwabembeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…