Jolebatawi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 549
- 230
Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.
UKAWA wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.
mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa ukawa baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.
Ukawa wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.
Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.
UKAWA wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.
Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.
UKAWA wamekuwa wa kwanza kuutupa uzalendo wa nchi yao.
uzalendo upi huoo sijakusoma hapa? nachojua UKAWA wanataka kurudisha uzalendo wetu halisi wa TANNGANYIKA huu ndio naoufaham. sasa aliyeuvunja ni nani CCM AU UKAWA??Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa watanzania.