Wanachuo mnachukua hatua gan kuhusu issue ya ESCROW Kama wasomi ndan ya nchi.
Ama ndio kuongelea kwenye watsap grups na social nertwokrks tu?
Tafakar chukua hatua
Taifa lina wategemea wasomi
Wasomi waliobobea katika ngazi ya Maprofesa, Madaktari, na wenye Masters si ndio waliopiga hela kwenye mchongo huu wa Screw ya Tegeta? Unafikiri watakuwa na la kusema zaidi ya kutumika vibaya? Heri mimi sikusoma, nilifuta ujinga tu!
Wanachuo mnachukua hatua gan kuhusu issue ya ESCROW Kama wasomi ndan ya nchi.
Ama ndio kuongelea kwenye watsap grups na social nertwokrks tu?
Tafakar chukua hatua
Taifa lina wategemea wasomi