Hongera sana kwa kua na bachelor....mh!!! hao ndo design ya wasomi wa nchi hiWell,nmepita hapo naona vijana wanatoka kufanya mtihan nadhan,wanaenda kudandia daladala...wamependeza na suti zao kwelkwel,
Anyways,elim ni ufunguo wa maisha ila inabid tusome nyakat ndugu zanguni
Hawa vijana ambao wamesoma 4yrs sheria na zaid wanaenda ongeza mwaka m1 zaidi ili kuendelea kupalilia elim ili maisha yawe mazur zaid,hawa ni mfano tuu wa kund kubwa ambalo linaamin kwa kuendelea ongeza elim ndo kutawatoa zaid,..si discourage hili ila nasisitiza kua
Someni nyakat
Mim binafs nna bachela In somethn na naona elim hyo inanitosha,kuendelea na mashule nmeona napoteza mda tu sabab hyo bachela sio kwamba imenitoa kihivyo,vimishahara vyenyenye nkifananisha na nondo nilizokula havifanan,..wazee wa Coet mtanielewa
Ni bora muda huo na hko kidogo unachopata ujifunze elim ya mtaan jinsi ya kukuongeza zaid,
Kiukwel elim za chuo kikuu ni kubwa sana ,huhitaj kuongeza unlesa unataka kua mwalim
Period.
Ni Kweli Kukata Tamaa Kwetu MwikoMimi naishia tu kujuta mana nikiangalia wale niliowaacha wamepiga hatua wakati mimi sina mbele wala nyuma.
Ila nikikumbuka kuwa katika maisha hatuwezi kafanana cha msingi ni kupambana kwa kadri utakavyoweza
Muda mwingine kuna watu ukijilinganisha nao unaona afadhali yako na unamshukuru Mungu .
Cha msingi uzima hivyo vingine vinatafutwa.
Hivyo tupambane mana unapoweka juhudi na mafanikio lazima yatakuja hata kama sio leo chamsingi uvumilivu na kutokata tamaa.
DisgustingWith your suit fighting to get a sit in a daladala?
So sad indeed.
Ni kwel kabsa.Mimi naishia tu kujuta mana nikiangalia wale niliowaacha wamepiga hatua wakati mimi sina mbele wala nyuma.
Ila nikikumbuka kuwa katika maisha hatuwezi kafanana cha msingi ni kupambana kwa kadri utakavyoweza
Muda mwingine kuna watu ukijilinganisha nao unaona afadhali yako na unamshukuru Mungu .
Cha msingi uzima hivyo vingine vinatafutwa.
Hivyo tupambane mana unapoweka juhudi na mafanikio lazima yatakuja hata kama sio leo chamsingi uvumilivu na kutokata tamaa.
Mnachoshindwa kujua sio wote lazima wajiajiri wengine lazima waajiriwe tu ili kuweka sawa mzungukoBro nakuunga mkono. Usiposhtuka mapema ukakalia Kula kitabu tu na kutafuta kazi, utazeeka maskini ukiwa Frustrated.
Mimi nilimaliza chuo mojawapo hapa Dar na Degree ya mambo ya Ujenzi, nikaajiriwa. Niliishia kutumikia wengine maisha yao yakisonga huku mimi nikishindwa kujinunulia hata vitu vidogo kwa ufinyu wa mshahara. Niliamua kuacha na kujitosa mtaani. Mambo sio mazuri sana bado coz ndo nimeanza lakini kuna matumaini. Najitumikia mwenyewe.
Wenzangu wasomi tuamke, zama za kupata cheti ukatumikie taifa zimepitwa na wakati. Kama unataka mafanikio. JIAJIRI
Unauza korosho nn mkuu?Inabidi hata wazazi waanze kubadili mindset za watoto zao wasiwakaririshe kwamba elimu ndio kila kitu...
Nikifiriaga shuruba zote nilizozipata halaf leo nafanya shughuli ya ksen** yaaani ndo vile tu ilimradi mtu usikae kizembe tuu..
Vijana hawana ajira wanaamin wakiongeza elim zaid ya waliyonayo watapata ajira.hahah,daa.sio zama hiz.Bro nakuunga mkono. Usiposhtuka mapema ukakalia Kula kitabu tu na kutafuta kazi, utazeeka maskini ukiwa Frustrated.