CalvinKevoo
Member
- Feb 7, 2025
- 43
- 91
Enh unaona emu kasikilize fid q huyu na yuleWasamehe sana mkuu
Ila basii
Sawa Asante kwa kuona mapungufu yangu ewe uliyekamilika lakini naamini umenielewa nilicho maanishaMakosa kumi ya huu uzi kwenye uandishi wa maneno
1.Kene❌
Kwenye✔️
2.Mupunguze❌
Mpunguze✔️
3.Munaishia❌
Mnaishia✔️
4.Anamanisha❌
Anamaanisha✔️
5.Mumekosa❌
Mmekosa✔️
6.Thead❌
Thread✔️
7.izo❌
Hizo✔️
8.Mana❌
Maana✔️
9.Anajuwa❌
Anajua✔️
10.Munaambiwa❌
Mnaambiwa✔️
Mengine watamalizia na wasomaji wengine 🥶nimechoka kusoma huu uzi
Welcome😊mkuuSawa Asante kwa kuona mapungufu yangu ewe uliyekamilika lakini naamini umenielewa nilicho maanisha
Ila mkuu umeongea ukweli kuna baadhi ya watu wakishindwa kutetea hoja zao au ukiweka hoja ambayo hawakubaliani nayo wanaishia kukutukanaWASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi
Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika abaki na ujinga wake
Akini anajuwa alichokiandka anamanisha nn sio kila kitu lazima ukoment mengine soma achana nayo na Kama umeamua kucoment basi koment kuendana na Mtoa Mada sio unakurupuka tu unaandika ujinga na ndo mana munaambiwa muende veta musomee fani kidogo mupunguze izo stres mulizo nazo za kupoteza muda kene madaftari mwishoe munaishia kubet na tu
Defensive mechanismIla mkuu umeongea ukweli kuna baadhi ya watu wakishindwa kutetea hoja zao au ukiweka hoja ambayo hawakubaliani nayo wanaishia kukutukana
Jana nimetoa hoja katika thread ya hama hama ya palestina, mmoja akasema ninafikiri kwa kutumia kinyeo, mwingine akasema nina mawazo ya kijinga.WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi
Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika abaki na ujinga wake
Akini anajuwa alichokiandka anamanisha nn sio kila kitu lazima ukoment mengine soma achana nayo na Kama umeamua kucoment basi koment kuendana na Mtoa Mada sio unakurupuka tu unaandika ujinga na ndo mana munaambiwa muende veta musomee fani kidogo mupunguze izo stres mulizo nazo za kupoteza muda kene madaftari mwishoe munaishia kubet na tu
Humu kumejaa wapumbavu wengi sana, hakuna wasomi humuWASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi
Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika abaki na ujinga wake
Akini anajuwa alichokiandka anamanisha nn sio kila kitu lazima ukoment mengine soma achana nayo na Kama umeamua kucoment basi koment kuendana na Mtoa Mada sio unakurupuka tu unaandika ujinga na ndo mana munaambiwa muende veta musomee fani kidogo mupunguze izo stres mulizo nazo za kupoteza muda kene madaftari mwishoe munaishia kubet na tu
Ila yamezidi mkuu nisamehe bure ....Sawa Asante kwa kuona mapungufu yangu ewe uliyekamilika lakini naamini umenielewa nilicho maanisha
Nimekupata mkuu 🙏Ila yamezidi mkuu nisamehe bure ....
Jitahidi maana inakuwa inaleta hata uzito kuusoma.
Huko Facebook ndio wasiojua kusoma na kuandika kama wewe wanaachwa watoe mawazo ya hovyo na comment za ajabu ajabu! Humu ukijichanganya lazima upigwe mawe! Utaambiwa ukweli hata kama kwako ni machungu.WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi