Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,501 Jul 17, 2013 #21 Fixed Point said: ha haaa, kumbe umeelewa rafiki, lol! Click to expand... Kumbe waweza elewa bila kuelewa kuwa umeelewa? Maana mpaka sasa sijajua mleta mada alikuwa anataka kusema nini, hasa kwa wadada tu.
Fixed Point said: ha haaa, kumbe umeelewa rafiki, lol! Click to expand... Kumbe waweza elewa bila kuelewa kuwa umeelewa? Maana mpaka sasa sijajua mleta mada alikuwa anataka kusema nini, hasa kwa wadada tu.
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Jul 17, 2013 #22 Kaunga said: Kumbe waweza elewa bila kuelewa kuwa umeelewa? Maana mpaka sasa sijajua mleta mada alikuwa anataka kusema nini, hasa kwa wadada tu. Click to expand... mimi sijui anachoongelea.... nilivyokusoma tu nikaona kama mchango wako unalingana na bandiko lake, nika-assume umeelewa, lol!
Kaunga said: Kumbe waweza elewa bila kuelewa kuwa umeelewa? Maana mpaka sasa sijajua mleta mada alikuwa anataka kusema nini, hasa kwa wadada tu. Click to expand... mimi sijui anachoongelea.... nilivyokusoma tu nikaona kama mchango wako unalingana na bandiko lake, nika-assume umeelewa, lol!
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,160 Jul 17, 2013 #23 Sasa umenitajia nini? ulichoongea chenyewe ni kizunguzungu.
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,039 Jul 17, 2013 #24 wamekata tu tamaa ya maisha hao...........
F fishy rocky Member Joined Jul 18, 2013 Posts 11 Reaction score 1 Jul 20, 2013 #25 Kaunga said: Kumbe waweza elewa bila kuelewa kuwa umeelewa? Maana mpaka sasa sijajua mleta mada alikuwa anataka kusema nini, hasa kwa wadada tu. Click to expand... Labda alilewa
Kaunga said: Kumbe waweza elewa bila kuelewa kuwa umeelewa? Maana mpaka sasa sijajua mleta mada alikuwa anataka kusema nini, hasa kwa wadada tu. Click to expand... Labda alilewa