Kwa hiyo unaniambia na wale wanaouawa na wake/waume zao wamechelewa kufa zaidi ya wanaoamua kutooa/ walioachika?
This type of study is a shame to academia.
Kuna watu fulani si marriage material na washajijua na hawataki kuwapa wengine shida, hao nao unataka kuniambia watakuwa na maisha marefu kwa kuwa katika ndoa na kupigizana kelele kila siku?

wewe lazima utakuwa ni MSEJA! Naona unaofia kufa mapema. Ingekuwa vizuri nawe ukaja na tafiti inayoonyesha jinsi unavyotaka.
mkuu sidhani kama awa jamaa wamekosea kufuatana na kuweka hizi tafiti mbalimbali zilizojumuisha mataifa tofauti.
Labda ni kwa vile watanzania vyama vya siasa vimetuharibu' tunapenda kupinga kila kitu.
Reach hii itawafanya wenye matatizo ya ndoa: hasa walioumizwa na wenzi wao wasikubaliane na huu utafiti - unatonesha vidodo, ambavyo ni vigumu kupona kwa sababu ya muhovu shetani.
sasa hivi kuna wapenzi wa kukodi, hakuna shida sana.
hii article inataka kuleta ogomvi na kanisa la RC... mbona Watawa wa RC wanaishi muda mrefu sana au kuna siri behind?
sasa hivi kuna wapenzi wa kukodi, hakuna shida sana.
Wanapatikana wapi hawa kongosho