Invarbrass
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 504
- 111
Saafi dada.. Kama kuna vitu shetani hataki kusikia ni ndoa...nje ya ndoa ni uzinzi - machukizo mbele za Mungu..ndoa zinawezekana kama alivyosema gaga hapo juu..ila bintis zetu warudi kwa watu wazima wawape maujanja (fundwe), waache udhungu uchwara (utumwa wa mila za magharibi)..leo unakuta bint kavaa kata 'k' mtaani...nje ya ndoa mwanamke hayuko salama..kama atakuwa na watoto nje ya ndoa huko mbele ya safari aweza pigwa na upweke/sononi unless awe mcha Mungu...Mimi ni Baba wa yatima na Mume wa wajane..Mungu kamuumbia kila mtu wa kwake,ila hatuamini tu,tunakurupuka hatuombi kwa kumaanisha
Mungu kamuumbia kila mtu wa kwake,ila hatuamini tu,tunakurupuka hatuombi kwa kumaanisha
<br /><span style="font-family: comic sans ms">kWANI WEE CV YAKO IKOJE? UMEWOWA AU UMEOLEWA?</span>
<br />Sio wanawake wote wanaolewa, Ndoa ni bahati adimu sana kutokea. Kutokuolewa sio mwisho wa maisha, nawashauri dada zangu hawa kujituma ktk kufanya kazi kwa ajili ya kujiendeleza kimaisha. ****mates wa kuzaa watoto nao wapo wengi sana!
Sio wanawake wote wanaolewa, Ndoa ni bahati adimu sana kutokea. Kutokuolewa sio mwisho wa maisha, nawashauri dada zangu hawa kujituma ktk kufanya kazi kwa ajili ya kujiendeleza kimaisha. ****mates wa kuzaa watoto nao wapo wengi sana!
mmhh! do they give ful satisfaction ?kama imeshindikana kuolewa,usikubali kuwa nyumba ndogo....siku hizi madildo kibao!
Huwa nashangaa jamii jinsi inavo kuwa selfish na biased. Inasistizwa sana kwa mtu asie olewa kutofanya mapenzi mpaka atakapo olewa. Sasa endapo itashindikana kuolewa je jamii inamshuri nini mhusika? Je is it possiible wanawake wote kuolewa tena katika ratio ya one to one? Inaposhindikane kuolewa mwanamke automatically anakuwa hana sexual desire au that biological mechanism ina kuwa active kwa wenye ndoa tu? na je?, vizuizi hivi si ndio vinaweza kuwa vinaongeza nyumba ndogo? Maana kwa kanuni ya supply na demand waliolewa watakuwa wachache na wasilolewa wengi so wasioolewa wanabanana na waliolewa katika sharing limited resources. Nipeni mawazo ila msijifungie kwenye box.