1.Uko kawaida. ila ambapo hauko kawaida ni kwenye wivu kupitiliza. wote tuna wivu lakini tunakunywa maji na tunalala shwariii
2. wanawake wengi ambao wana kuwa waaminifu kwa mpenzi mmoja huwa wanaumia sana. Kwa hiyo usibwage moyo wako wotee jiachie na wewe yaani jipende na wewe mwenyewe
3. ''when woman fed up'' ndiyo nitolee hiyo hapo pia si wewe peke yako
4. Ila ambapo hauko kawaida ni INABILITY to forgive. unatakiwa uwe na uwezo wa kusamehe. binadamu wote wanakosea lazima uweze kusamehe...huyo 'boy' wako kama ulivyomwita akikukosea msamehe kama anakupenda atabadilika for you. lakini lazima usamehe. Sasa binti bado hujaingia kwenye ndoa unasema huwezi kumsamehe mtu wako ukiingia si ndoa itakushinda. samehe saba mara sabini te te te te kama inafurahisha vile lo! ila hapa lazima mwenzako akuheshimu na umwambie anapokuumiza kwa uzuri tu naye akiwa amekupenda ataacha. Halafu naona kama vile ndiyo umri wa kutafutia mchumba ulionao so kwenye hili la kutosamehe ebu rekebisha kidogo huku ukimwombea mwenzio