mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,532 Reaction score 138,476 Mar 27, 2020 #1 Wadosi wako faster...... Washonaji wa tz sijui mnakwama wapi Ova Your browser is not able to display this video. Sent using Jamii Forums mobile app
Wadosi wako faster...... Washonaji wa tz sijui mnakwama wapi Ova Your browser is not able to display this video. Sent using Jamii Forums mobile app
lolypop JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,425 Reaction score 1,691 Mar 28, 2020 #2 Tz ukitengeneza utaambiwa unatengeneza masks ambazo zipo chini ya kiwango.
Mponda 02 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 534 Reaction score 508 Mar 31, 2020 #3 Usalama kiafya haujazingatiwa hapo, endapo mtengenezaji kaambukizwa anaweza kusambaza ugonjwa.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 26,027 Reaction score 51,307 Apr 1, 2020 #4 Hapo ni kama kujaribu kumuokoa mtu anayezama kwa kumrushia kamba ya uzi wa kushonea nguo!!