Kizimkazimkuu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2007
- 337
- 242
Wana jamvi Mimi Siyo mwanasiasa, lakini Leo nimetafakari sana juu ya taifa hili na mipango isiyotekelezeka.
Nimeanza na maisha bora kwa kila Mtanzania na nikatafakari aliyemshauri Mh wakati akiingia Ikulu. Walilenga kuyaletaje hayo maisha bora ? Nikajiuliza yale mabilioni 21 waliyogawa Mh alishauriwa na wachumi wa aina gani? Nikawaza pengine wangepewa wazalishaji wadogo na wa kati wazalishe bidhaa za Muuza nje ya nchi kuliko udanganyifu uliofanywa kwa hizo bilioni za JK! Washauri walimwingiza mzee chaka, akaingia na akabaki huko huko!
Wakarudi mara ya pili na Kilimo Kwanza! Hii ni aibu zaidi na sitazungumzia udhaifu wa kilimo cha Mezani na posho za kuhamasisha na ulaji wa wajanja waliofutiwa kodi na mkulima hadi Leo hana la maana. Leo tafakari yangu na hasira yangu ni ujinga wa kutojifunza kutokana na makosa. Wajanja hawa wamemdanganya tena mzee wakaja na ;Big Results Now! Wasanii kama Mrisho Mpoto na Banana wamepewa hela kuimba na kuhamasisha. Nikajua yale yale!
No big results will come out zaidi ya Big Posho na allowances kwa wajanja waliobuni hii propaganda! Ngoja tuone hiyo BIG RESULTS kama itakuja kutoka mezani na kwenye makaratasi. Kwa elimu mnadhani madawati, vitabu, walimu bila kuwepo results kubwa mtazipata wapi? Hiyo hainihitaji mimi kuwa na elimu kubwa kutambua umbumbumbu wa viongozi wetu!
Ndugu wa JF,
Kwa muda sasa rais JK amekuwa akiandamwa na shtutma j=kadhaa kuhus maamuzi anayoyafanya au kushindwa kuyafanya. Ninavyotambua, marais huwa na washauri wao na hawa huwa ni watu muhimu sana na mara nyingi kwa rais makini na msikivu wanmchnago mkubwa katika mustakabali wa nchi. JK, lazima anaowashauri wake rasmi (maana pia lazima wapo wasio rasmi); binafsi niliopata kuwasikia ni:
1. Bi Elsie Kanza- mambo ya uchumi (www.jamiiforums.com/.../116478-hongera-bi-elsie-kanza-mshauri-wa- uchumi-wa-rais-kikwete-3.html - Cached) na tz.linkedin.com/pub/elsie-kanza/22/583/360
2. Kingunge N. Mwiru - siasa
kama kuna wengine tunawafahamu tuwataje hapa na ikibidi tujue wasifu wao, je washirika wao kibiashara (kama wanajulikana), umiliki wao wa shughuli za biashara, elimu zao/uzoefu nk. In short we need to them in details. hii inaweza kutusaidia kujua kundi lingine ambalo ni muhimu lakini liko nyuma ya pazia na pengine linachangia sana katika kuturudisha nyuma .
nawasilisha....
Mshauri wake mkuu alikua shekh yahaya, bahati mbaya kafariki so yuko idle
Sugu je, anamahauri naniRay-C kwenye mambo ya sanaa,
Lilian na mama juniorRiz1, January Makamba
Hivi mshauri wa slaa kwenye mambo ya kindoa na kifamilia ni nani??
Sugu je, anamahauri nani