Wasanii

magis

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
392
Reaction score
590
Hbr wapendwa
Ninawakumbusha wasanii kuachana na mawazo ya kufanikiwa kupitia siasa.
Watambue kuwa kazi yao ni ya thamani na ndiyo itakayowapa mafanikio.
 
Mkuu unamsema nani?
Hapana
Najaribu kuona jinsi Sanaa inavyopoteza mvuto ktk jamii na wao wenyewe kuwa ktk makundi yasiyo na tija kwa kazi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…