Wasanii wengi hutoka mbali sana hebu angalia hii kali ya MC Pilipili alikotoka.

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Kama kweli unakipaji basi usikate tamaa jitahidi tu utafika mbali,hebu angalia huyu kijana alikotokea mpaka leo hapo alipofika.

Nakumbuka hata wakina Jot na Mpoki walikotoka wakati ule wakijifanya mafundi umeme na ma overoll yao na leo wakifika ni hatua na wako mbali sana kwa sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…