Maisha tuseme ni yale yele na maana hapa bongo,ila hule msemo wa maskini hakipata matako nayo uliya mbata.
vituko vya wasanii katika kuonesha wamefanikiwa kuanzia mijengo,biashara,magari na n.k.wanapenda sana kutuongezea 0 mwishoni tena zina weza kuwa 000.