Wasanii hii inawahusu sana

cantona55

Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
24
Reaction score
26
WASANII WA MUSIC HII INAWAHUSU;
kipaji ni sehemu ya maisha yetu,tunaamin kila binadamu anakipaji alichopewa na mwenyenz mungu,vipaji vipo vingi ila kuna wanaopenda KUIMBA,
wasanii wanaopenda music wapo wengi sana ila ni wachache wanaopata nafasi ya kurecod na kuskika.

Sasa mkombozi wenu kaja,
TALENT MUSIC ni home studios kwa ajili yako ww msanii wa music,ambae unapenda kufanya mzik mzur, au ushawahii kufanya ila uafika kokote, karibu kwetu tukutengeneze mziki mzuri.

Kauli mbiu yetu ni {tunaamini kwenye vipaji na mziki ni kipaji chetu,
tunatengeneza mziki tofaut tofautika rnb, hiphop, trap, gosple, singeli, mchiriku, raga danc.
kwa maelezo zaidi tucheki 0692 477 610
 
Haya wasanii kazi kwenu, tobo hilooo😀
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…