Wasafi Media hakuna Creative Department, kuna Copy & Paste Department


Anzisha Redio yako uiboreshe utakavyo.
 

Nasib Abdul alias Diamond Platinumz siyo Mmiliki ( ila ana Hisa kidogo ) hapo na amewekwa kama CEO ili Mmiliki asijulikane.

Hiyo ni Media ya Ndugu Joseph Kusaga Mmiliki pia wa CMG. Fundi wake Mkuu wa CMG ndiyo aliyepokea na Kufunga Vifaa hapo.

Nasisitiza ni Media ya Kusaga wa CMG.
 
kwa
kwa upande wa Tv Tanzania ITV wanahitaji heshima sana, hizi channel nyingine ni utopolo
 
Ingekua hivyo tungezaliwa na kuzikuta smartphones, smart screens, smartshops e.t.c

Creativity is an inborn character! Only polished to the desired aspect.
Hakuna kipya chini ya jua,kinachofanyika modification tu basi.

Kabla clouds kulikuwa na radio one kulikuwa wakina Aboubakar Sadiki,Misanya,John Dilinga ,Rweyunga,Kitenge na wengineo wengi,so hata wao walikopi vingi kutoka radio one.Juzi tu hapa kuna thread wameandika humu Clouds wamehamisha kipindi cha michezo usiku,wakakiweka saa tatu asubuhi huoni kama Wamewacopy EFM.

Mimi sioni creativity ya kutisha zaidi ya modification,labda sijui kwa upande wako.

Kwangu mimi Creativity naiona kwenye kipindi cha Millard Ayo na Singeli michano cha EFM ila vingine sioni creativity zaidi ya modification yaani kama wafanyavyo China.

Halafu hao wote waliotajwa sioni ubunifu wao,kwangu radio na TV karibia zote,zimekopi vitu vingi kutoka IPP Media (ITV,EATV (zamani ilikuwa inaitwa ITV 2) na Radio One).
 
Kwa hapa tz Clouds fm ni wabunifu sana ni radio inayo pendwa na vjana ndo maana radio nyng hata za mikoani zina copy mfano wa mambo mengi kutoka kwao
 
Itv utv tbc star tv hazinaa ubunifu wote wanasoma taarifa za habari saa 2

Supersport sky sport, canal sport ubunifu zero wote wanaonyesha epl game ya live mda mmoja
Hazard kweli kabisa,hivi ni lazima kusoma taarifa ya habari tvii zote kwa wakati mmoja?Mpk tunaanza kurukaruka kwa kusoma highlights baada ya hapo tunawawekea watoto cartoon,hamna jipya

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Tuwe wakweli mpaka sasa ni Radio gani ina sikilizwa na watu wengi?
Wangekuwa wanasikilizwa sana na watu potential basi wangekuwa na traffick ya matangazo ile mbaya..Kipindi chao cha michezo ndo kinachosikilizwa sana na ni kwa sababu wasikilizaji wengi wa redio bongo wanafuata content za michezo.
 
Mbona naona na Wewe ambaye umezungumza ujaleta Fact, Duniani kuna radio format zaidi ya Buku ila kwa media kama clouds wao ndio walichagua format moja ambayo media zilizokuja nyuma zote zili copy and paste.

So speaking of creativity CmG wako Tu hapo yaani.
 
Sawa Adam mchomvu umeeleweka..off-sir 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…