Was Commander Barlow assassinated?

hivi video ya dr ulimboka, Ikulu na Kova imeishia part gani..

Tumepata habari DR.Ulimboka amepewa mshiko mambo yaishe, vielelezo viliwabana wakuu. Tusubiri hili la Mwangosi litaishia vipi nalo video iko wazi zaidi.
Hili la Kamanda Barlow watahakikisha wanafunika ukweli na uozo ulioko katika uongozi wa nchi hivi sasa.
 
Mnakumbuka Jenerali Kombe alivyouwa? hawa polisi ni vigumu kuwaelewa wapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya watu fulani.
 

Hao ndio waajiriwa wa kuiletea ushindi CCMabwepande 2015!!M4C take care!! wataua, watatisha watahujumu kwa njia zote! watashirikiana na TISS na polisi tujiandae kwa mpambano wa nguvu!!!
 

labda na wewe uache kutembea na wake za watu silivyo utaishia alipo ishia mwenzako
 

“A lie can travel half way around the world while the truth is putting on its shoes.”-Mark Twain
 
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga,mficha maradhi mauti umu umbua,kijana wetu kanumba alificha atembei na LULU hatimaye tumegundua yeye kafariki

Ni kweli siku zote huwezi ficha kivuli chako, ki pamoja na wewe popote uendapo.
 
waandishi uchwara. Huwezi ku assassinated polisi au raia. Assassination is killing of political figure for political motive. Kwa vile mwandishi hajui tofauti basi habari yake ina walakini
 
he was targeted, hunted, murdered, killed, revenged, retaliation, betrayal, assasinated, kicked the bucket...etc etc, whatever u can call it he is damn gone.!
 
he was targeted, hunted, murdered, killed, revenged, retaliation, betrayal, assasinated, kicked the bucket...etc etc, whatever u can call it he is damn gone.!
yes !!he is gone....!! the issue is to find who the heck is behind it...today is barlow....tomorrow is ....
 
Mzinifu huyu mzee ndo maana kafa kifo cha aibu
 

Mwenyekiti wa sasa wa CCM wa Mwanza nafikiri bado ni Mabina, mtu wa kazi wa siku nyingi tu. Na kila mtu anayejuà kinachoendelea anajua hilo.

Marehemu alikuwa anaingilia kazi za wakubwa inaelekea.

R.I.P kamanda. CCM is literary Chama Cha Majambazi.
 
I align with you. inline with you.
 
Ukweli upi tuambie basi, maana tunasikia mengi, mara Tai 5 mara Florida, sasa kipi ni kipi?
Kuna mambo mengi ambayo hayako wazi hadi muda huu
1.Je kikao cha harusi kiliisha saa ngapi?na marehemu na Dorcas walikuwa wapi baada ya kikao kuisha?nijuavyo vikao vingi uwa vinaisha mapema sana.
2.Je marehemu alikutana na Dorcas kwenye kikao cha harusi coincidentally au walikuwa wamepanga kukutana huko?
3.Je Dorcas alikwenda na usafiri gani kwenye hicho kikao?na kama asingemuona marehemu alikuwa amepanga kurudi kwa usafiri gani?
4.Nani alisikia mabishano kati ya marehemu na hao wauaji,taarifa zinazotolewa na polisi zina utata,kwani kama Dorcas aliisha ingia ndani aliyasikia vipi maongezi kati ya wauaji na marehemu,na ni kwanini hakuondoka mara baada ya kumdrop?alisubiri nini nje?
5.Kama Dorcas alipiga simu kuwa kuna mgeni nakuja kupaona anapoishi ina maana uhusiano/undugu wao ulianza siku ile ya kikao,hawakuwa wanajuana before?au hawakuwahi kutembeleana before?.
6.Dorcas alimpigia simu bodyguard wa marehemu,hiyo namba aliipata wapi?na je walikuwa wamemuacha wapi huyo bodyguard na ni kwanini hakuenda naye Kitangiri?
Hayo ni baadhi ya maswali ambayo watu wengi tunajiuliza.Barlow alikuwa mfano mzuri katika utendaji,commited and hard worker ,May he rest in eternal peace.Amen
 
No nonsense stance on discipline? May be the word discipline got a new meaning.

- He is said to have been drinking relentlessly at this party, and yet chose to drive his car to take this woman home (the don't drink and drive rule is not for the Police?). He is reported to have made poor judgement in dealing with the community police - or was he drunk? And why leave his bodyguard behind in the first place?
- He was quite dismissive when the police almost killed an innocent Migration official
- He is said to have been toying with this woman, claimed to be someone's wife.
 
Hii tabia ya wakubwa kulamba wake za watu, madem wa watu, dada, shangazi na mama zetu kwa kutumia title zao itawamaliza. Toka tukiwa wadogo tunasikia wakubwa wakija mikoani wanaandaliwa chakula ya kupumzikia... sasa nao wajichunge maana U-mswati wao utawaponza sana. Ole kwao>>>> R.I.P Barlow
 
Mimi naona kama tunapotoshwa na hadithi za Katulanda. Tanzania tuna uhaba kama siyo ukosefu wa Waandishi Wachunguzi ndiyo maana hata Taarifa ya Uchunguzi wa mauaji ya Mwangosi iliyotolewa na Waandishi wa Habari imeandikwa kama hadithi ambayo mwisho wake unatatanisha. Kwa tukio la Mwanza, Nasema No assassination, Mr Barlow was killed! Tutakapoingiza maneno ya assassination tutakuwa tumepotezwa. Lakini kwa kuwa uchunguzi unafanywa ebu tuone tutaelezwa nini!
 

mkuu hebu funguka zaidi baada ya kusoma hayo maelezo ya maana ya assassination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…