uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,644
Messi fans always want violence
Kwanini swala la uwanja kutokujaa ulihusishe na Ronaldo na sio kwamba ni friend game dhidi ya timu ambayo haina mashabiki tena katika ardhi ya ugenini?
Huyo kwa sababu ya kuwa fana wa Messi bali ni chuki dhidi ya Waarabu ,nada zake karibia zote zimebase hapo kutwa kuziponda Psg ,Mancity kwa sababu ya wamiliki wake pamoja na mada nyinginezo zenye malengo ya kuwashambulia waarabu pamoja na ligi zao.Messi fans always want violence
Kwanini swala la uwanja kutokujaa ulihusishe na Ronaldo na sio kwamba ni friend game dhidi ya timu ambayo haina mashabiki tena katika ardhi ya ugenini?
Sasa ureno wana ugeni gani na Ronaldo mpaka wakamshangae uwanjani wakati kila siku wanamuona ingekuwa marekani au nchi nyingine tofauti na ureno hapo sawa ila ila binadamu bwanaJuzi kulikwa na game za maandalizi na msimu mpya wa ligi mbali mbali duniani
Na club ya alnasri ipo barani ulaya kwa mechi mbali mbali
Sasa juzi walicheza na benifica wakapoteza kwa 4-1
Icho sio kitu cha ajabu kufungwa kwasababu alnasri ni timu ya kawaida
Kitu cha ajabu ni bwana mkubwa kukataliwa na mashabki kwani karibu uwanja ulikuwa empty seats ni mashabiki wachache tu waluojitokeza
Hiyo haitoshi hata mechi mtawalia dhidi ya celta vigo ilikosa mashabiki viti vingi vilikuwa wazi
Kwanini ronaldo haheshimiki tena! Kutoka kuwa mchezaji kipenzi cha mabinti na wapenda soka to most hated athletic why?
Ile michezo anayofanyiwa ronaldo imempa nuksi inawezekana
taja michezo anayo fanyiwa
Sasa ureno wana ugeni gani na Ronaldo mpaka wakamshangae uwanjani wakati kila siku wanamuona ingekuwa marekani au nchi nyingine tofauti na ureno hapo sawa ila ila binadamu bwana