Wareno leo tuna vunja chaga

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,912
Reaction score
21,641
Hakika leo ndo kipomo halisi cha kuonesha ya kuwa sisi si watu wa kawaida....

Leo afe kipa afe beki lazima goli zifungwe tu, tuwadunge midomo hawa wadharau miba. Haitakuwa kazi nyepesi ila moto atauona, Anafikiri ukubwa wa mwili ndo una reflect mijegeje?


Leo muhispania kazi anayo

Heshima lazima iwepo na hawa kizazi kipya wanaodhani talent beats discipline leo ndo watajua hawajui,

We didn't come this far to end here.

The only GOAT 🐐 is CR7

 
Nilijua Warembo kumbe wareno nilitaka niulize chaga zinavunjwa wapi huko?Ila sasa hapo mimi nitakimbizana na parachichi na glass ya mvinyo hapo!
 
Uwanjani pale goat mwenyewe atakavyo Fanya kile watu tumezoea
Goat wa ureno ni nani kwani wengine sii wanasoccer,pale tunaikutatunakula burudani bila stress wala shida ya ushabiki sumbufu!
 
Goat wa ureno ni nani kwani wengine sii wanasoccer,pale tunaikutatunakula burudani bila stress wala shida ya ushabiki sumbufu!
πŸ˜‚πŸ˜‚ We chizi nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…