Muda si mrefu Viagra zitawaua hawa wazee.....bado wanapenda watunzia vijana wa mjini wanawake.?Atakuwa busy anawabambikizia Kesi
mkuu nimefurahishwa sana na hiyo nakala ya uzi huu kumpelekea Zemarcopollolong time sijasikia mipango inayosound big ya hawa wazee.Hasa linapokuja suala la kudili na cdm.huwa wanapata maono sana.
Jama anayejua whereabouts zao jamani atutonye tuwakumbushe maono yao.
Pasco km hayupo busy ktk programs za kufagilia gambaz angeza tupa vipande vya mazungumzo nao.kweli cdm ni machinjio ya gamba.
C:ZeMarcopolo,rits.
hivi mijitu ya magamba unaijua au unaisikia ?Tendwa kaoa? What happened to his wife, the teacher?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Nimecheka sana .Muda si mrefu Viagra zitawaua hawa wazee.....bado wanapenda watunzia vijana wa mjini wanawake.?Atakuwa busy anawabambikizia Kesi
Wengi hatujawasikia...wasiende haraka msituni bhana hata wapate muda wa kushuhudia tabiri zao....sijui Kinana hajawaambia Mizki wa CDM na wanayemwita DJ?mkuu nimefurahishwa sana na hiyo nakala ya uzi huu kumpelekea Zemarcopollo , ni hivi hawa wazee wote wawili wamepigwa laana na Mungu mwenyewe hasa baada ya kujaribu bila mafanikio kuhujumu cdm , kuna tetesi kwamba kuna laana kubwa zaidi inawanyemelea .
Ha haa..ni soo...Si ulisikia juzi tuu kuwa biashara ya Viagra haramu zinazosimmamisha bwana mdogo week 2 zinawahusu wao na wakorea?Km habari ya Albino tuliuliza hapa viungo ktk uganga ni vipi,sasa ipo wazi hawa jamaa inawahusu.Viagra huwa zinaharibu sana akili ya mtumiaji..km akili 20/7 ipo kwa bamdogo saa ngapi vitu vya muhimu vitapata nafasi achilia mbalia kuvielewa?Nimecheka sana .
Huyu mzee mchafu na mzembe hivi akiwa mtu mzima,mwanasiasa na mwenye pesa za bure na nafasi ya kutembea..sipati picture alipokuwa kijana mdogo akiw atumbo wazi kijijini sijui alikueje?Sijui km alikuwa anafuta maparachichi na vitu vingine kmkujisafisha baada ya huduma kubwa au hata kufunga kofuli la ikulu.ILA JAMANI WAKATAJI WAMEFANYA KAZI NZURI HUYU NDIO RAISI KWELI?
Haha akili yake anakula pension..na sasa honey moon.Nadhani kwa sasa anasikilizia trends ktk media..km hajalewa anaweza pata hisia kwamba honeymoon inaweza kuwa mbaya fasta.Tendwa kaoa? What happened to his wife, the teacher?Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Huyu mzee mchafu na mzembe hivi akiwa mtu mzima,mwanasiasa na mwenye pesa za bure na nafasi ya kutembea..sipati picture alipokuwa kijana mdogo akiw atumbo wazi kijijini sijui alikueje?Sijui km alikuwa anafuta maparachichi na vitu vingine kmkujisafisha baada ya huduma kubwa au hata kufunga kofuli la ikulu.