Hao wazee watakuwa wametahayuri sana,baada ya jaji Kaduri wa mahakama kuu,kuyafutilia kwa mbali,mashitaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili,Lwakatsre.
Si mnakumbuka duly za nyuma,mara kwa mara,alikuwa akisikika,Wassira,akikitabiria kifo Chadema kabla ya 2015? Na Tendwa mara kwa Mara,alikuwa akisikika mara nyingi,kuwa hatasita kukifuta kutoka orodha ya vyama,kwa chama chochote cha siasa,kitakachoonyesha dalili ya kufanya mambo ya kigaidi?
Sasa ndiyo tunajua,what was behind those statements,kumbe ilikuwa ni mipango,iljyokuwa inapangwa gizani,kati ya magamba, poliCCM, TISS, pamoja na huyo gamba,msajili wa vyama.
Sasa baafa ya kuona mipango yao,imebackfire vibaya mno,hivi sasa wametahayuri,na wanaendelea kupata dozi,kutokana na pressure,iliyowapanda!!