Swali zuri sana kwa mleta hoja.kama mzalendo,kwanini alimfukuza tido pale tbc wakati yeye ndio alimtoa bbc na akaja akampiga chini?
Jk nae ni snich tu.
DUUUUUUU Comrade wakati wewe unaona leo kesho na keshokuta mleta hoja anaona leo tu,swali zuri sana mleta hoja alikurupukakama mzalendo,kwanini alimfukuza tido pale tbc wakati yeye ndio alimtoa bbc na akaja akampiga chini?
Jk nae ni snich tu.
Kikwete ni mzalendo sana
kama mzalendo,kwanini alimfukuza tido pale tbc wakati yeye ndio alimtoa bbc na akaja akampiga chini?
Jk nae ni snich tu.
Atakumbukwa kwa mabomu na maji ya kuwasha kwa wapinzani pekee bila kusahau kupeleka FFU. Na Police kabla ya uchaguzi kama vita vile
kama mzalendo,kwanini alimfukuza tido pale tbc wakati yeye ndio alimtoa bbc na akaja akampiga chini?
Jk nae ni snich tu.
kama mzalendo,kwanini alimfukuza tido pale tbc wakati yeye ndio alimtoa bbc na akaja akampiga chini?
Jk nae ni snich tu.
Swali zuri sana kwa mleta hoja.
Jamaa ni mtu wa visasi ile mbaya au mmesahau ya Babu Seya.
Kama haitoshi muulizeni Masoudi Kipanya kisa cha yeye na Fina Mango kufukuzwa Clouds FM.
Kama haitoshi hata alipokuja kupata kipindi TBC JK akamfata Tido huyu mtu sitaki kumwona ndo chanzo cha Maisha plus kufa.
kama mzalendo,kwanini alimfukuza tido pale tbc wakati yeye ndio alimtoa bbc na akaja akampiga chini?
Jk nae ni snich tu.